Johnes Mwashushe Mwaruma

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 311 to 320 of 984.

  • 27 Apr 2023 in Senate: . Kwanza, nilifikiri kwamba nitaenda mpaka mwisho wa huu wakati. Hiyo taa inanishangaza. Nizimieni taa basi! Nizimie taa, Bi. Spika wa Muda. view
  • 27 Apr 2023 in Senate: Asante, Bi. Spika wa Muda. Kama hizi pesa zilikuwa za kujenga barabara, ukweli wa mambo ni kwamba hatuna mabarabara Taita-Taveta. Ile barabara ambayo iko Taita-Taveta ni ya kitaifa ambayo inatoka Nairobi kwenda Mombasa na imepitia Taita-Taveta, kutoka Mtito wa Andei kwenda Mackinnon Road. Ile barabara ambayo iko Taita-Taveta ni barabara ya kitaifa ambayo imetoka Voi kwenda Taveta na kwenda Holili, Tanzania. Barabara ambayo iko katika kaunti yetu ambayo iko na lami ni barabara kutoka Mwatate kwenda Wundanyi na hizo ni kilomita 15. Katika eneo bunge la Wundanyi pekee yake, tuko na kilomita mbili pekee yake. Hiyo ndiyo eneo bunge, Kenya ... view
  • 27 Apr 2023 in Senate: tukapeleka maji mpaka Kighombo Dam na tukajaza hilo bwawa la Kighombo na tukapea watu wa Mwatate na Voi maji. Tumenyimwa leo. Tunapata ya kwamba ni wadi mbili peke yake Taita-Taveta ambazo zinapata hizi pesa za Equalisiton Fund ambayo ni Chala. Kwa sababu ya kumbukumbu, Chala inapata Kshs6,339,919, Kasigau wanapata KShs6,998,--- view
  • 27 Apr 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 18 Apr 2023 in Senate: Asante, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa hii fursa ya kuchangia Mswada huu wa ugavi wa pesa za serikali kati ya Serikali ya Kitaifa na serikali za kaunti. Mwaka wa 2010, tulijipatia Katiba mpya ambayo ilileta awamu mbili za serikali; Serikali ya Kitaifa na serikali za kaunti. Katika uundaji wa zile serikali ama ile Katiba, tukaunda Tume inaitwa Commission on Revenue Allocation (CRA) ambayo kazi yake ni kusaidia katika ugavi wa pesa za Serikali. Pia Katiba yetu ikaweka Bunge mbili katika nchi hii; Bunge la Kitaifa na Bunge la Seneti. Hizi Bunge, zinawakilisha wananchi katika viwango tofauti. Nikiangalia huu Mswada ... view
  • 18 Apr 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only.A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 18 Apr 2023 in Senate: Bi. Spika wa Muda, leo hii nawaomba Maseneta wenzangu, kwa heshima na taadhima tukubali kupeana kwa serikali za ugatuzi Kshs407 bilioni ambazo zimependekezwa na tume ya CRA. Serikali za ugatuzi zinafanya vizuri mashinani. Zimejenga hospitali, zahanati na shule nyingi. Je, tutajengaje shule bila kupeleka rasilimali za kutosha kuajiri waalimu wa shule za chekechea na kadhalika mashinani? Je, tutaajiri vipi waalimu wa vyuo vya anuwahi, madaktari na wauguzi bila kupeleka rasilmali mashinani? Kwa hivyo, kama tume ya CRA inasema tupeleke leo Kshs407 bilioni na wametumia vigezo vya kisayansi ili kufikia kiwango hiki cha pesa hatuna budi sisi ila tu kuheshimu pendekezo ... view
  • 18 Apr 2023 in Senate: Asante, Bi. Spika wa Muda. Ninafikiri dakika zangu zimehifadhiwa kutokana na hitilafu ya mitambo. Bunge la Seneti, chini ya Article 96 ya Katiba, liliundwa ili kulinda ugatuzi. Katiba ya kwanza ya 1964, ilikuwa na magatuzi na Bunge la Seneti. Lakini waliokuwa pale hawakuweza kulinda magatuzi. Ni jukumu la hii Seneti ya 13 na zile zijazo, kushikana mkono ili kulinda ugatuzi. Ugatuzi tunaulinda kutokana kwa nani? Unapoangalia vile kunaendelea hivi sasa, ni miezi minne tangu serikali zetu za ugatuzi zipewe pesa. Hii ni njia moja ya kuua ugatuzi hapa nchini. Njia nyingine ya kuua ugatuzi ni kupunguza zile pesa ambazo zinafaa ... view
  • 11 Apr 2023 in Senate: Thank you, Mr. Temporary Speaker, Sir, I want to comment about a Statement by Sen. Kibwana and later on, read my Statement. view
  • 11 Apr 2023 in Senate: Thank you, Mr. Temporary Speaker, Sir, for this opportunity to comment on Sen. Kibwana’s Statement on privatization of State Corporation. Mr. Temporary Speaker, Sir, this Statement has come at the right time because it will allow us to understand the justification and rationale of privatizing the State corporations, especially doing so, without involving Parliament. When the Executive is operating or working, the architecture of our Constitution requires that Parliament does oversight. What I want to get from the Committee of Finance and Budget is the criteria that was used to identify the State corporations that are going to be privatized. ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus