11 Oct 2022 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
11 Oct 2022 in Senate:
Inamaanisha tumeanza kupuuza polepole Sura ya Sita ya Katiba inayohusu maadili. Hivi vigezo viwili vinaonyesha kwamba haki haitakuwa inatendeka katika nchi yetu. Katika Bunge la Seneti, tumeona Upande wa Wachache umehujumiwa. Maseneta waliochaguliwa kutoka sehemu hizo wametekwa. Hii sio dalili nzuri katika maswala ya uhuru wa mahakama, taasisi huru kama vile Bunge na pia tume huru za kutetea haki za binadamu. Jambo la mwiso ambalo ningependa kugusia ni maswala ya mbegu zilizobadiliswa na kuweza kuzaa kwa wingi. Kwa Kiingereza tunaita GeneticallyModified Organisms (GMO). Ni hatari kwa nchi yetu kukubali mbegu hizi. Mfano ni hivi majuzi tu ambapo kina dada walianza ...
view
6 Apr 2022 in Senate:
Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa ili kuchangia hii
view
6 Apr 2022 in Senate:
ambayo imetolewa na Seneta wa Kaunti ya Vihiga, Sen. Khaniri, inayohusu Mto Mara. Ni jambo la kutia moyo kwamba bado kuna watu Kenya ambao wanathamini utamaduni wetu na mbuga za wanyama kama vivutio vikuu vya utalii.
view
6 Apr 2022 in Senate:
Sen. Khaniri ameangazia swala la uchafuzi wa Mto Mara ambao unatishia kivutio cha utalii ambacho ni the Mara Migration . Ni jambo la kutia moyo kwamba kuna wananchi ambao bado wanaona umuhimu wa pesa zinazotokana na utalii.
view
6 Apr 2022 in Senate:
Ni lazima Serikali ijifunge kibwebwe. Wananchi wanaofanya juhudi kuendeleza utalii wanafaa kutiwa moyo ili watie bidii zaidi ili kuzuia matukio ambayo yanaweza kuzuia maendeleo ya wananchi kwa sababu ya mkinzano kati ya wanyamapori na wananchi. Nasema hivyo kwa sababu pesa inayotokana na Mto Mara ni nyingi mno, hasa kwa Kaunti ya Narok. Kaunti zingine pia zinafaa kusaidiwa ili mbuga za wanyama zithibitiwe na wanyamapori wasiingie maeneo ya wananchi, kwa sababu kuna wananchi wanaojua umuhimu wa vivutio vya utalii kutokana na wanyamapori. Kwa hivyo, Serikali inafaa kujizatiti ili kupunguza kile tunachoita human-wildlife conflict. Bw. Spika wa Muda, tulikuwa jijini Geneva kwa ...
view
6 Apr 2022 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
6 Apr 2022 in Senate:
Katika huo mkutano pia, Japan iliuliza ikubaliwe kununua pembe za ndovu ambao wamekufa wenyewe. Ulimwengu pia ulikataa kuwapa ruhusa kwa sababu ingekua kama incentive ya kuwaua ndovu zaidi. Nashukuru kwa hii Statement na ningechangia ya kwamba tuendelee kulinda wanyama wetu kwa sababu ni kivutio kizuri cha ushuru unaotokana na utalii. Serikali pia ijizatiti ifunge buti ili kuzuia hiyo hasara inayoletwa na wanyama pori. Kule kwetu Kaunti ya Taita Taveta, wanaichi wa huko ni watu wenye bidii. Wanalima, wanafuga ng’ombe na tuko na range land zaidi ya ekari million 1.4 . Licha yahayo, hatupati faida yeyote kwa sababu wanyama pori wanakula ...
view
6 Apr 2022 in Senate:
Thank you, Mr. Temporary Speaker, Sir, for this opportunity to go through my three statements.
view
29 Mar 2022 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I beg to lay the following Paper on the Table of the Senate, today, 29th March, 2022:
view