Johnes Mwashushe Mwaruma

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 41 to 50 of 984.

  • 13 Feb 2025 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view
  • 13 Feb 2025 in Senate: serikali ya kaunti ya Taita-Taveta haikuwa imelipa Social Health Insurance Fund (SHIF). Huyu mama alikuwa tayari ashakatwa zile pesa lakini haikufika kwenye shirika hilo wala hakupata huduma za afya. Kaunti hii ilialikwa hapa Seneti na kamati ya Health na walikuja na kuahidi kwamba watalipa pesa hii. Jambo la kushangaza ni kwamba hadi sasa hawajalipa. Ni vizuri tufuatilie mambo haya kwa sababu kulikuwa na shilingi milioni 800 ambazo zilikatwa kutoka kwa mishahara ya wafanyikazi wa kaunti ya Taita-Taveta na ilikuwa kama pending bill . Tutasukuma haya ili kaunti hii ifanyiwe special audit ili pesa yote wafanyikazi wamekatwa ielekezwe kwenye SHIF na ... view
  • 11 Feb 2025 in Senate: On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir. view
  • 11 Feb 2025 in Senate: Asante, Mhe. Naibu Spika. Hoja yangu ya nidhamu ni kwamba wanaopitisha matangazo katika runinga zetu; the Parliamentary Broadcasting Unit (PBU), wanaandika sajili ya majina tofauti na yale yako kwa Ratiba ya Shughuli. Ukiangalia orodha ya majina yanayopita, kuna jina la Sen. Agnes Kavindu Muthama na The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view
  • 11 Feb 2025 in Senate: katika Ratiba ya Shughuli ya leo haina hilo jina. Naomba wawasilishe majina yaliyopo katika Ratiba ya Shughuli ya leo. view
  • 11 Feb 2025 in Senate: Asante, Mheshimiwa Naibu Spika kwa kunipa fursa hii ili kuunga mkono Hoja hii. Ninaunga mkono majina yote yaliyoko katika orodha hii The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate. view
  • 11 Feb 2025 in Senate: tukianza na Sen. Ali Roba, Sen. Shakila Abdalla Sen. Veronica Maina, Sen. Wakili Sigei, Sen, Mwinyihaji Faki, Sen. Crystal Asige na kadhalika. Ninashukuru kwa uamuzi huu ya kwamba maseneta wote wanaweza kuwa katika kamati hii na ni vyema kufanya kazi kwa zamu. Ninafurahia kwa sababu wale walifanya mbeleni walifanya kazi nzuri na hawa ambao wamewekwa pia wataweza kufanya kazi nzuri. Katika kazi zilizo mbele yetu, kulikuwa na Miswada, Maswali na kazi nyingine nyingi ambayo haikuenda--- view
  • 11 Feb 2025 in Senate: Bw. Naibu Spika ninaomba unilinde kutokana na kelele nyingi kutoka upande huu na wale wanaoongea kwa sauti. Maseneta waliyo upande wa mkono wangu wa kulia kidogo wanajadiliana kwa sauti ya juu view
  • 11 Feb 2025 in Senate: Bw. Naibu Spika, kazi ile iliyobakia katika Bunge letu ni kazi nyingi sana. Ukiangalia zile Petitions, Motions na Statements ambazo zilikuwa zimeratibiwa kabla ya kuenda likizo ilikuwa nyingi sana. Nyingine zilikuwa za Jimbo la Taita Taveta za mambo yanayohusiana na mashamba, Wanyama pori na ukosefu wa maji. Kuna Miswada miwili muhimu sana ambayo yametajwa na Sen. (Prof.) Kamar inayohusiana na elimu na mwelekeo wa Controller of Budget ya kwamba hakuna county inayoruhusiwa kupeana bursary. Pia kulikuwa na Mswada wa Sen. Karungo Thang’wa kuhusu kufanya elimu iwe bure. Hiyo ni miswada muhimu na ya maana sana ambayo yanahitaji Seneti itoe mwelekeo. ... view
  • 11 Feb 2025 in Senate: Oversight Fund katitika Katiba. Hiyo ipewe kipaa umbele ili tujue mwelekeo wa Mswada huo. Naunga mkono Mswada huu. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus