Johnson Nduya Muthama

Born

20th October 1954

Post

Parliament Building, P. O. Box 41842-00100 Nairobi

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

info@jnmholdings.co.ke.

Telephone

0733900300

All parliamentary appearances

Entries 251 to 260 of 1060.

  • 1 Apr 2015 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, I was just suggesting quick measures and steps that the Government can take now to stop this issue, once and for all. We do not want to see it again. Even before we debate this issue, the Government has got the authority to say that no more Kenyans should travel to Saudi Arabia. view
  • 31 Mar 2015 in Senate: Asante sana, Bw. Naibu Spika, ninashukuru kwa nafasi hii nami niweze kusema yangu. Mwanzo, ningetaka kufahamisha Seneti hii kwamba mimi ni The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 31 Mar 2015 in Senate: Ninakushukuru, Bw. Naibu Spika. Nimefanya kazi na Rais Uhuru Kenyatta nikiwa Kiranja wa Serikali katika Bunge naye akiwa Waziri wa Fedha. Nilimtumikia Waziri wangu katika Bunge la Kumi kwa uaminifu. Yeye anaweza kutoa ushahidi hapa kusema kwamba kamwe hakuna siku ambayo nilikanyaga katika ofisi yake kumuomba usaidizi wowote. Pia niliwatumikia Sen. Murungi na Sen. Haji ambao wako hapa. Ninasema haya kwa sababu, ili tutoe shida katika nchi hii, inafaa tumalize magendo, rushwa na hongo. Kutenda jambo hili ni kazi ngumu na lina uzito mkubwa sana kwa sababu ni lazima uanzie mahali fulani na watu fulani. Maneno ambayo mhe. Rais Kenyatta ... view
  • 31 Mar 2015 in Senate: Bw. Naibu Spika, page ni ukurasa. Sura ni chapter. Nimetajwa kwamba nafaa kuchuguzwa kwa ujenzi wa barabara iliyogharimu Kshs57milioni. Pesa nilizopokea za juu zaidi zilikuwa Kshs8 milioni. Tuliofanya kazi pamoja na Sen. Haji. Ndio mradi kama huo upite, ilikuwa ni lazima bodi ya ConstituencyDevelopment Fund (CDF) ikae chini na kuupitisha. Hakuna mradi ambao ungegharimu Kshs57milioni. Kasheshe na msukosuko ni kwamba, Waziri wa Kilimo anachunguzwa kwa jambo moja. Bw. Waziri kwa kuwasaidia Wakenya na kuwaonyesha kwamba kilimo kina maana anashtakiwa kwa kukodisha sehemu ya shamba ya Serikali. Waziri huyo hajaiba au kunyakuwa shamba hilo. Inasemekana hapa kwamba ameikodisha na kulima ekari ... view
  • 31 Mar 2015 in Senate: Bw. Naibu Spika, nakubali kufahamishwa. view
  • 31 Mar 2015 in Senate: Bw. Naibu Spika, nashukuru kwa kufahamishwa na Sen. Sang. Ni kweli na dhahiri kwamba Waziri anakashifiwa kwa kumuweka msaidizi wake kusimamia shamba ile. Sisi tunawatafutia Wakenya kazi bila kujali kabila lao. Lakini la kuhuzunisha ni kwamba, Waziri wa Kilimo anapigwa kumbo kwa mambo hayo. Bw. Naibu Spika, nimesoma madai kuhusu Waziri Kamau. Mimi simtetei, lakini nimefanya kazi naye, akiwa Katibu wa Kudumu katika Serikali iliyopita. Mimi nimemtembelea ofisini zaidi ya mara 50. Chochote nilichomuuliza yeye kufanya, alikizungumzia kwa kina akieleza barabara atakazo shughulikia, zile hangeweza shughulikia kutokana na ukosefu wa pesa na zile angeweza kuzitafutia pesa. Hakuniitisha hongo hata siku ... view
  • 31 Mar 2015 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, will I be in order to say that we are here, debating and discussing the Presidential Speech and what Sen. Wetangula is doing is to touch on and point out the appointments that have been made by the President? Sen. Wetangula has not gone outside that. In fact, he was in the process of saying; “Mr. President did one, two or three.” Those are the issues we are supposed to be raising on the Floor of this House. view
  • 31 Mar 2015 in Senate: Point of information! view
  • 31 Mar 2015 in Senate: On a point of information, Madam Temporary Speaker. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 31 Mar 2015 in Senate: Madam Temporary Speaker, I would like to inform Sen. Hassan that development was done by the Rt. Hon. Raila Odinga in Kibera when one of his Assistant Ministers was none other than Sen. Keter. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus