29 Nov 2012 in National Assembly:
Hoja ya nidhamu, Bw. Naibu Spika! Kabla ya Bunge hili kwenda kwa likizo iliyopita, niliomba Taarifa kutoka kwa Waziri wa Haki, Uwiano na Sheria. Majuma mawili yamepita na Taarifa hiyo haijatolewa. Taarifa hiyo ilifaa kutolewa leo na simwoni Waziri huyo.
view
29 Nov 2012 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika Muda, nakubaliana na Wabunge wenzangu kwamba wanafanya kazi katika mazingira magumu sana. Wametoa ulalamishi hapa. Nimejaribu kuchangia na kusaidia Mawaziri kuja lakini kama Kiranja wa Serikali mwenyewe anauliza taarifa na inachukua majumaa manne na bado haijatolewa na hili ni jambo muhimu sana ambalo linahusu taifa nzima, hivyo si vizuri. Bw. Naibu Spika, kama kule umezaliwa kuna watu wengi sana ambao wanataka kuwa viongozi, ukiangalia mazingira yaliotolewa na Serikali kutoa kiwango cha elimu katika sehemu hiyo, huwezi kulinganisha na sehemu zingine. Kule kuna watu ambao wamezaliwa kama viongozi na kwa sasa wanafungiwa. Korti ambayo Waziri mwenyewe anasimamia imetoa ...
view
29 Nov 2012 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika, nayatoa na kuomba msamaha.
view
29 Nov 2012 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika, nashukuru.
view
20 Nov 2012 in National Assembly:
On a point of order, Mr. Speaker, Sir. I sought a Ministerial Statement from the Minister for Justice, National Cohesion and Constitutional Affairs. The Statement was to be delivered today. I came late and I request for the indulgence of the Chair to ask the Minister to state the position of the Ministerial Statement.
view
20 Nov 2012 in National Assembly:
I oblige, Mr. Speaker, Sir.
view
11 Oct 2012 in National Assembly:
Bi Naibu Spika wa Muda, ninataka kumuuliza Waziri kama ana habari kwamba mabwawa mengi ya maji yaliyoweza kufanyika katika taifa letu yanachimbwa tu na kuwachiwa wananchi maji bila kuyaangalia na kujua kama yanafaa au hayafai. Maji mengi yamekuwa na chumvi na hakuna njia yote iliyoweza kuonekana ya kwamba kuna tegemeo lolote la kuweza kutatua tatizo hilo kwa kuleta madawa ya kutoa chumvi na vile vile kutoa uchafu. Wananchi wengi wamekunywa maji, meno imeharibika na afya yao zimekuwa katika hali ya kutatanisha. Waziri ana habari hiyo na kama anayo, anategemea kufanya nini kutoa taabu hiyo kwa Wakenya?

Madam Temporary Deputy Speaker, most of the health facilities that have been constructed through CDF monies lack proper equipment and staff. In most cases, here in our country---