8 May 2012 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika wa Muda, tukisema tunataka umoja wa taifa na tunataka kuunda taifa ambalo msingi wake ni wa utaifa wa Kenya, ningeomba vyama vizingatie sana viongozi wake wanatoka ukoo fulani. Kwa sababu ukiangalia kama Mkoa wa Kaskazini hivi sasa, hauna viongozi wa vyama. Kwa hivyo, utaona kwamba mwenyekiti akiketi chini kuamua ni nani atachaguliwa, anaangalia ukoo wake. Basi wengine hawatakuwa na nafasi. Wakati tunaanza kutafuta viongozi, hao watu wataingia tu kusindikiza wale ambao wanajiita jamii kubwa na wanajiita majina yanayofanana na uongozi wa chama. Lakini wale wachache bado wataendelea kufinywa. Ukiangalia upande wa Turkana, hakuna kiongozi wa chama. Kwa ...
view
2 May 2012 in National Assembly:
Thank you, Mr. Speaker, Sir. In the mining industry, there are different categories of licences such as prospecting and special licences. The fees paid for those licences range between Kshs2,000 and Kshs200,000.
view
2 May 2012 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, there are also other licences issued by municipal or county councils. In addition, there is also a levy which is being applied also by the same county council or municipal councils. Therefore, after the miner has paid all those licence fees, he has every right to mine. For example, I mine in Tsavo West National Park and pay other fees to the Kenya Wild Service (KWS). Mr. Speaker, Sir, my question is: Which authority should be adhered to, to license the miners in this country because when you look at all those steps, fees is being paid? ...
view
2 May 2012 in National Assembly:
On a point of order, Mr. Speaker, Sir. I want to ask the Assistant Minister whether he is in order not to know that. The gazette notice that was issued declaring that no mining activities should take place in Tsavo West and Tsavo East National Parks, excluded five companies which were there before the gazette notice.
view
2 May 2012 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, I stand to be corrected.
view
2 May 2012 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, before the gazette notice, the five companies which were issued with licences from 1992 to mine in Tsavo West National Park were allowed to continue mining. For example, my company purchased the rights to mining from the previous company that was---
view
2 May 2012 in National Assembly:
Mr. Speaker, Sir, I want to inform the Assistant Minister that the five companies were there before the gazettement and were given the rights to continue mining. What was gazetted prevented new prospecting from taking place in Tsavo East and Tsavo West national parks.
view
14 Mar 2012 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika wa Muda, nina simama kuunga mkono Hoja hii iliyoletwa na Mbunge was Kamukunji, mhe. Yusuf.
view
14 Mar 2012 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika wa Muda, nilipokuwa nikija nilisikiliza mazungumzo haya kupitia Idhaa ya Kiswahili ya KBC. Mazungumzo haya yanatangazwa moja kwa moja na Wakenya wanahamaki sana ya kujua kilichofanya nchi hii kwenda kupigana katika nchi ya Somalia. Swali ni moja na Wakenya wanataka kujibiwa. Je, vita hivi vya sasa vinahusu nchi yetu ya Kenya vipi? Uwazi wa mambo ni kwamba Kenya ilidharauliwa. Kenya haina nia ya kuchukua hata inchi moja ya Somalia. Kenya haitaki kukaa katika nchi ya Somalia. Lakini madharau yaliingia katika nchi hii wakati maharamia walitoka kwao na kuingia katika nchi yetu kwa uwazi na madharau ambayo hayajaonekana. ...
view
14 Mar 2012 in National Assembly:
Kwa hayo machache, ninaiunga mkono Hoja hii.
view