Johnson Nduya Muthama

Born

20th October 1954

Post

Parliament Building, P. O. Box 41842-00100 Nairobi

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

info@jnmholdings.co.ke.

Telephone

0733900300

All parliamentary appearances

Entries 771 to 780 of 1060.

  • 18 Aug 2011 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, ninasimama kuunga mkono Hoja. Tume hii tayari imefanya kazi nzuri sana. Kwa muda mfupi wameweza kufanya kazi nzuri. Wamezuru sehemu nyingi za nchi. view
  • 18 Aug 2011 in National Assembly: Ninaunga mkono tuwaongezee miezi sita ili waweze kukamilisha kazi yao. Miezi michache iliyopita Wakenya kupitia kwa Tume hii wamefahamu mambo mengi yaliyojikita katika historia yetu. Tunataka wayachunguze mambo yote ambayo yanaweza view
  • 18 Aug 2011 in National Assembly: Madam Spika, ningetaka Mswada huu upitishwe haraka iwezekanavyo na kwa hivyo, nitachukua dakika mbili tu. Kwanza, ninamshukuru mhe. Lekuton kwa kuleta Mswada huu ambao ni wa maana sana. Bila shaka, Mswada huu utapita lakini ningetaka kuomba kuwa hela na mali hii isiundiwe tume nyingine kukaa na kuanza kuitumia. Inafaa kupatiwa Serikali ili itumiwe kupelekea wananchi maji, stima na kujenga hospitali. Hakuna haja ya kuunda chombo kingine cha kukaa na kujilipa mshahara. view
  • 18 Aug 2011 in National Assembly: Ninaunga mkono. view
  • 10 Aug 2011 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, ninasimama kuunga mkono Hoja hii. Mswada huu umewasilishwa wakati unaofaa. Mswada huu unahusu kutekelezwa kwa Katiba yetu. Huu ni mojawapo wa Miswada tunaohitajika kupitisha. wananchi wanataka tupitishe Miswada hii kwa haraka sana ili waweze kufurahia matunda ya Katiba mpya. Jambo la pili ni kuwa Mswada huu unazingatia haki za maisha ya binadamu katika nchi yetu. Ikiwa tutaupitisha Mswada huu, basi mambo haya yatekelezwe mara moja. Mswada huu hautakuwa na maana kwa wananchi ikiwa tutakuwa na vikundi vitatu vya watu; wale watatii sheria, wengine watakuwa wakitaka kutii sheria kwa mbali na wengine watapenda kuvunja sheria hii ... view
  • 3 Aug 2011 in National Assembly: Asante Bw. Naibu Spika wa Muda. Nimekuomba hivyo ndio tuweze kugawa dakika zilizobaki ili Waziri aitwe naye aweze kujibu na sote tupate nafasi ya kuzungumuza. view
  • 3 Aug 2011 in National Assembly: Namshukuru Waziri kwa Mswada huu alioleta hapa ambao ni kuhusu vyama vya kisiasa. Jambo la kwanza, ninashukuru kwa sababu msajili wa vyama ataweza kufanya kazi yake bila kuingiliwa na mtu, hata akipigiwa simu na kuambiwa kwamba kwa sababu chama fulani kiko karibu kushinda uchaguzi aandikishe chama kingine ili kukipinga hicho, hataweza kufanya hivyo. Ataweza kufanya kazi na usawa kwa Wakenya wote. Bw. Naibu Spika wa Muda, kuna baadhi ya watu ambao wanaunda vyama vya kisiasa kwa minajili ya kupata pesa kutoka nchi za nje. Madhumuni yao ni kupata utajiri. Watu wengi huunda vyama ili wakati wa uchanguzi waweze kuwauzia wanasiasa ... view
  • 3 Aug 2011 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, usajili wa vyama ni lazime uangaliwe kwa makini sana. Hatutaki kuona wafuasi wetu wakijiandikisha zaidi ya mara moja. Kuna baadhi ya watu ambao hupenda kujiandikisha mara kadha wa kadha katika vyama tofauti. Ni lazima uwanachama utiliwe maanani kwa sababu hatutaki mchezo wa paka na panya hapa. Kuna mtu ambaye asubuhi huwa mwanachama wa chama fulani, adhuhuri yuko katika chama kingine na jioni anajiandikisha kuwa mfuasi wa chama kingine. Huu ni mchezo ambao unatilia shaka misingi yetu ya kidemokrasia. Ni lazima tuhifadhi heshima yetu ikiwa tunataka kuheshimiwa na mataifa mengine ulimwenguni. Bw. Naibu Spika wa Muda, ... view
  • 26 Jul 2011 in National Assembly: Madam Temporary Deputy Speaker, I stand to oppose the amendment. The reason for this is that Mr. Mbadi is a Member of the Budget Committee. We did this Report together, a vote was taken. It is wrong for Mr. Mbadi to --- view
  • 26 Jul 2011 in National Assembly: Madam Temporary Deputy Speaker, even if Mr. Mbadi rejected the Report then, he lost. He is part and parcel of the Report. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus