Joshua Serem Kutuny

Parties & Coalitions

Born

1978

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

joshkutuny@yahoo.com

Email

cherangany@parliament.go.ke

Telephone

0720898128

Link

@Honjoshuakutuny on Twitter

All parliamentary appearances

Entries 151 to 160 of 461.

  • 7 Aug 2018 in National Assembly: The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 7 Aug 2018 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Chairlady, while I really want to agree with them, all the Members understand how the Committee works. This concern was in public domain and they should have appeared before the Committee when all other players appeared before it. The Members of the JSC are also members of the LSK. We have even given them two slots. It is important for them to understand that one of the members of the JSC will serve as the chairperson. So, that sorts out their issues. They are part of the LSK. view
  • 7 Aug 2018 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Chairlady, while I really want to agree with them, all the Members understand how the Committee works. This concern was in public domain and they should have appeared before the Committee when all other players appeared before it. The Members of the JSC are also members of the LSK. We have even given them two slots. It is important for them to understand that one of the members of the JSC will serve as the chairperson. So, that sorts out their issues. They are part of the LSK. view
  • 7 Aug 2018 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Chairlady, I second. view
  • 7 Aug 2018 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Chairlady, I second. view
  • 2 Aug 2018 in National Assembly: Asante sana, Naibu Spika wa Muda. Nashukuru sana kwa nafasi hii umenipa nichangie na kuzungumzia suala hili la mazingira. Kwanza, nitachukua fursa hii kukashifu Serikali kwa jinsi ilivyofurusha watu ambao ni akina yahe kwa makazi yao. Nitasema kwa nini ni makazi yao. Wale watu wameishi pale. Kule Mau ndio kwao. Sio kwao kimakosa. Serikali kuwa na tabia ya ndumakuwili ndiyo imenipatia nafasi hii kuikashifu licha ya kuwa mwanachama wa Serikali hii. Wamama wameumia. Wakongwe wamenyeshewa. Watoto zaidi ya 4,000 wameachwa bila masomo. Shule zaidi ya sabini zimebomolewa. Watu wamekosa maji safi. Wale wagonjwa wamekosa dawa. Swali ambalo ningependa kuuliza ndani ... view
  • 2 Aug 2018 in National Assembly: Swali kuu ni: Kenya ni upande upi? Mbona wananchi wanyonge wanakandamizwa? Mimi nilifanya siasa. Nilikuwa katika Bunge la Kumi na tulizungumzia suala hili. Nataka kusema ya kwamba kitumbua cha Raila kiliingia mchanga aliposhika suala hili la Mau. Nataka kueleza Serikali hii kwamba kimo chao kitakuwa motoni wasiposhughulikia suala la Mau kwa namna ambayo itapendeza. Kile ambacho tunataka kusema ni kwamba hatupingi mazingira The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 2 Aug 2018 in National Assembly: kuhifadhiwa lakini tunataka ifanywe kisheria. Pale Mau kuna laini mbili. Kuna laini ya kwanza ambayo Mhe. Raila Odinga aliibuni wakati alikuwa Waziri Mkuu. Kuna laini nyingine iliyobuniwa na Rais Uhuru Kenyatta aliposhika usukani. Serikali ambayo iko mamlakani ni ya Uhuru Kenyatta. Tunasimama na uamuzi wa Rais Uhuru Kenyatta kwamba mpaka ndio huu. Kwa hivyo, tunataka kuuliza ni nani huyo ameenda kinyume na msimamo wake Rais Uhuru Kenyatta akafurusha watu. Wale watu wanaofurushwa hawako ndani ya msitu. Wako kwa makazi yao na inajulikana. Kuna kitu ambacho kinaitwa kwa kimombo cutline . Kwa hivyo, mimi ningependa Bunge lizungumzie suala hili kimakini. Nimesikia ... view
  • 2 Aug 2018 in National Assembly: Mimi ni kati ya Wabunge ambao wanatoka maeneo ambayo chemichemi ya maji katika taifa la Kenya ipo. Huko ni mlima wa Cherangany. Mmoja wa wanakamati amesema kwamba walitembea katika kila msitu Kenya nzima lakini hawakufika kwetu. Kamati hii haikutembea Kenya nzima. Walienda sehemu mmoja na wakatengeneza Ripoti kulingana na fikra zao. Hawakutembelea Wakenya wote. Kwa hivyo, Kamati hii haijafanya kazi bora. Kile ambacho nataka kusisitiza ni kwamba hatuzungumzi mambo ya kuhifadhi misitu kwa mara ya kwanza leo. Misitu ipo. Tukielezwa kwamba kuna mito ambayo inanyauka Aberdare ama Mkoa wa Kati katika Taifa la Kenya, ina uhusiano ngani na Mau? Hilo ... view
  • 2 Aug 2018 in National Assembly: Kuna Mhe. ambaye ana hoja ya nidhamu. Mpatie nafasi. Labda Mhe. Spika wa Muda hajamuona. Mhe. makinika. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus