All parliamentary appearances
Entries 161 to 170 of 461.
-
2 Aug 2018 in National Assembly:
Weledi wakiwekwa uwanjani, sikiza na utulie upashwe taarifa.
view
-
2 Aug 2018 in National Assembly:
Ahsante, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Sitaki kumjibu Mhe. Pamela Ochieng lakini amejaribu. Sipotoshi Bunge la Kitaifa. Mimi si mtu wa kawaida bali ni Mhe. Kwa hivyo, ni vyema kujifahamisha wakati mwingine. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
-
2 Aug 2018 in National Assembly:
Licha ya kuzungumzia hayo, mimi nataka kukashifu viongozi kutoka Bonde la Ufa ambao walienda kule Mau na kumkashifu Rais na kumpatia ilani juu ya suala hili. Kwa mazungumzo ambayo yanaendelea sasa ni kwamba ubomoaji wa nyumba umekwama. Tunashukuru Serikali kwa hilo. Lakini watu wapewe makao. Hayo ndiyo mimi naomba kwa sasa.
view
-
2 Aug 2018 in National Assembly:
Ahsante, Mhe. Naibu Spika wa Muda.
view
-
26 Jul 2018 in National Assembly:
Thank you, Hon. Speaker. I wish to make the following Statement. From 1st August 2018, Kenyans will be forced to pay more money to sustain a Kshs17 billion tender, the Excisable Goods Management System (EGMS), that was awarded to SICPA Security Solutions (SA) Ltd, a Swiss company awarded a tender to affix tax excise stamps on all local manufactured or imported essential goods, that is, bottled water, juices, soda and non-alcoholic beverages and cosmetics. This is meant to curb counterfeits and ease traceability of goods. The same stamps that KRA is trying to implement through EGMS have already been fitted ...
view
-
26 Jul 2018 in National Assembly:
extended scope of excisable goods. KRA then initiated a Tender Number KRA/HQS/DP/423/2014/2015/EGMS3, a direct procurement involving negotiation with the same tenderer who had bid and was awarded the first two tenders. It is also important to note that Legal Notice No.164 which was issued by the Commissioner-General on 2nd July 2018 will push prices of fruits, juices and vegetable juices from Kenya Shilling per litre to Kshs50 cents starting 1st August. This is against Article 43 of the Constitution that guarantees Kenyans access to clean and safe water. KRA has announced the rolling out of this stamp affixing. Surprisingly, on ...
view
-
4 Jul 2018 in National Assembly:
Asante, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Mimi ni kati ya wale wanaoketi kwenye kamati hii ya ardhi. Ningependa kumwarifu Mheshimiwa.
view
-
4 Jul 2018 in National Assembly:
Ndio, nataka nimpatie taarifa.
view
-
4 Jul 2018 in National Assembly:
Asante, Mhe Naibu Spika wa Muda. Kwa sehemu ambayo amesema kwamba yule ambaye anatakikana kufidiwa atashurutishwa, ukisoma kwenye Mswada huu ambao tumeutengeneza kama kamati, hakuna mtu ambaye atashurutishwa jinsi ya kufidiwa. Itakuwa yeye mwenyewe kuchagua jinsi atakavyofidiwa. Kama hatataka malimbikizi kutoka kwa Serikali, itakuwa sawa. Kama hataki ardhi mbadala, itakuwa sawa. Kama anataka hundi kutoka kwa Serikali, ni sawa. Kwa hivyo, itakuwa muhimu kwa Mheshimiwa kuelewa kwamba, hakuna mtu atashurutishwa. Itakuwa kwa hiyari jinsi ya kufidiwa. Asante.
view
-
27 Mar 2018 in National Assembly:
Thank you, Hon. Deputy Speaker for this opportunity. The farmers’ challenges are perennial. They did not start today. For many years, farmers have been complaining about poor prices, lack of farm inputs, lack of market and poor storage facilities. It is time for us to address the real challenge and find solutions. As we contribute to this matter that has been brought forward by our colleague, we need to get our act together. It is time to look for long-lasting solutions. It is only yesterday that I proposed that for us to get rid of cartels, we must start registering ...
view