Joshua Serem Kutuny

Parties & Coalitions

Born

1978

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

joshkutuny@yahoo.com

Email

cherangany@parliament.go.ke

Telephone

0720898128

Link

@Honjoshuakutuny on Twitter

All parliamentary appearances

Entries 71 to 80 of 461.

  • 3 Dec 2019 in National Assembly: Hon. Speaker, the dairy farmers will not wait because they are suffering. Right now, because of the long rains, the production is high. The Chairman should commit himself to sorting out these issues. Recently, there was a stakeholders meeting organised by the Strategic Food Reserve (SFR). Part of the short-term mitigation measures was that they would give Kshs1 billion to Kenya Co-operative Creameries (KCC) so as to level the prices. These are ongoing issues and KCC was requesting for an extra Kshs1.2 billion so that the price can be managed at Kshs36 per liter. The Chair has stood here and ... view
  • 3 Dec 2019 in National Assembly: My issue is very simple: That a report should not be brought in February, but be done in 14 days. Thank you. view
  • 13 Nov 2019 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika. Ijapokuwa ninaunga mkono Hoja hii, nina masikitiko kwamba ni Mbunge aliyeileta tuijadili. Tunajadili Hoja ambayo tutaizungumzia hapa lakini kutekelezwa kwake kutafanya tubaki na maruweruwe ya mazungumzo yetu hapa. Ninapotafakari na kufikiria, ninarudishwa nyuma na taswira ya mwaka wa 2013 tukiomba kura ya kuiandaa Serikali hii. Tulitoa ahadi kwa Wakenya kwamba kila mkulima atasajiliwa iwe ni mkulima wa mahindi, ngano, maziwa, au ng’ombe. Sasa ni miaka saba na hakuna mkulima aliyesajiliwa. Waswahili wanasema: “Heri nusu shari kuliko shari kamili”. Hii Hoja inatupa nafasi ya kutathmini, kuzungumzia matatizo, manufaa ya wakulima na wakulima kusajiliwa. Serikali huagiza pemebejeo ... view
  • 13 Nov 2019 in National Assembly: inayoendelezwa. Tunataka Serikali itoe taarifa kuhusu hili swala linalozungumziwa katika vyombo vya habari kuwa vyakula vyote vitumiwavyo na Wakenya vina makali ya sumu. Ni hatari kwa kutotoa msimamo wake juu ya swala hili. Asilimia 95 ya Wakenya wanatumia mahindi na maziwa. Wanakula sima na kukunywa chai ya maziwa. Hivi ndivyo vyakula vinavyotumiwa na watoto wote wachanga wanaozaliwa. Tunaruhusu taarifa za vitisho kuhusu vyakula vya Kenya. Katika soko la kimataifa, watu wanashuku vyakula tunavyotumia. Hawawezi kuviagiza na hatuwezi kuviuza nje ya nchi. Mbona Serikali inaruhusu habari hizo ziendelee kuzungumzwa badala ya kutupa suluhu ya kudumu? Wakulima wa majani chai wanalalamika. Kama ... view
  • 30 Oct 2019 in National Assembly: Mhe. Spika, ni tatizo kubwa sana kwa sisi ambao tumebaleghe katika lugha kuona watu wananajisi lugha hapa. Nimebonyeza dude hapa tena kwa muda mrefu sana nikitaka kutoa muongozo. Ni hoja ya nidhamu. view
  • 30 Oct 2019 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Spika. Ni masikitiko sana kwamba tunaregesha tena kuzungumzia suala ambalo sheria ina mkondo wake. Mfumo na ufunuzi wa kutengeza bajeti upo. Kuna kuchukuliwa kwa maoni. Inakaliwa na kamati husika katika Bunge. Mswada unaletwa hapa, Makadirio ya Taifa yanajadiliwa, mwisho yanaidhinishwa. Kila kitengo kwa taifa kinapata kitita chake. Baada ya hiyo ni matumizi. Kwa Waziri kutoa nakala yake ni udhofu wa nidhamu. Ni kuzembea kwa kazi. Haki ya Mkenya kwa leo inapatikana kortini. Sisi sote tukiwa na tatizo lolote tunaenda kortini. Hatua ya kujaribu kupunguza fedha waliotengewa korti ni kuhujumu mahakama kutoa haki kwa Wakenya. Mhe. Spika, umesema ... view
  • 27 Mar 2019 in National Assembly: Nashukuru sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Awali kidogo nilikuwa na wasiwasi kwa sababu nimekitegea sana hiki kidude. Nashukuru kwa fursa umenipa. Wazee wa mtaa ni uti wa mgongo wa taifa. Kwa masuala ya kuunganisha jamii, wao ndio uso wa Serikali. Hawa ndio wanashughulikia masuala ya usalama wa kijamii. Matatizo yakiwepo kwa jamii, wao ndio huleta watu pamoja. Serikali ilipoanzisha Nyumba Kumi, ilikuwa inategemea wazee wa mtaa waishughulikie. Lakini ukiangalia hali yao, wamezorota. Ukiangalia jinsi machifu na wakubwa wengine wa Serikali wanashughulikiwa, utashangaa jinsi wazee wa mtaa wameachwa bila kushughulikiwa. Wao pia wana watoto wanaowasomesha. Vilevile wana makao, lakini ukiangalia ... view
  • 7 Aug 2018 in National Assembly: (Cherangany, JP) view
  • 7 Aug 2018 in National Assembly: (Cherangany, JP) view
  • 7 Aug 2018 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Chairlady, I beg to move: view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus