Khatib Abdallah Mwashetani

Parties & Coalitions

Email

khatibabdallah@yahoo.com

Telephone

0722716614

Telephone

0723922222

All parliamentary appearances

Entries 51 to 60 of 311.

  • 7 Aug 2019 in National Assembly: Suala hili la uvuvi ni suala ambalo sasa hivi linapatiwa kipau mbele kwa sababu ni mojawapo ya agenda 14 ya Sustainable Millennium Goals of the Blue Economy . Kukiwa na halmashauri ya kuendesha masuala haya basi niko na imani uvuvi utaweza kufika kiwango kile ambacho hakijawahi kuwa katika nchi yetu ya Kenya. Mwenyekiti huyu pia iwapo atachaguliwa, imani yangu ni kuwa kulingana na ujuzi wake kama mwekezaji wa uvuvi, atachaguliwa. Niko na imani katika uongozi wake. Atakuwa na fikira nzuri ya kuelekekeza masuala ambayo yatafika meza zao. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. ... view

  • 7 Aug 2019 in National Assembly: Kama Mkenya, niko na imani Bw. Mbeo anaweza kufanya hii kazi. Kule kwangu Lungalunga, hivi tunavyozungumza tumeweza kuleta mwekezaji ambaye amejenga kiwanda kikubwa sana cha kusafisha samaki na kuwapeleka katika nchi za ng'ambo. Katika matarajio ambayo yatakuwa pale kwetu Lungalunga, sisi kama watu wa Kwale na lungalunga tutaweza kuajiri watu zaidi ya 3,000. Hiki kiwanda kimefika asilimia 100. Tunangojea halmashauri hii ambayo itachaguliwa kutupatia nafasi ya kuanza kusafisha wale samaki na kuendesha biashara. Kumekuwa na matatizo megi kuhusu mambo ya uvuvi kwa njia mbalimbali. Ukiangalia kanda ya kutoka Lamu mpaka Vanga, tuko na mipaka ambayo tunaruhusiwa kuvua na tuko na ... view

  • 7 Aug 2019 in National Assembly: Jambo lingine ni kuwa juzi kama miezi miwili ambayo imepita, kulitoka maagizo kutoka Wizara ya uvuvi kuwa wavuvi wasitumie neti ndogondogo kuvua lakini kuna samaki kama bobwe, kule kwetu tunaita samaki bobe, ambao wanakua mpaka kiwango fulani na hawawezi kupita kiwango hicho. Hawa samaki ndio wanaotupa sisi kama wavuvi wa sehemu ya Kwale nguvu ya kuishi na kukimu maisha yetu. Sisi tunaomba Serikali ikubalie hizi neti zitumike kwa sababu ukivua samaki huwezi kupata samaki mwingine ambaye si ndugu wa samaki hao. Ni samaki ambao wanaishi kwa pamoja. Wanatembea pamoja na kila wakivuliwa utapata asilimia mbili peke yake pengine watakuwa samaki ... view

  • 7 Aug 2019 in National Assembly: Ninaunga mkono kwa dhati na ninamshukuru Mhe. Wangwe kwa kunipa fursa hii kusindikiza Ripoti hii. view

  • 6 Aug 2019 in National Assembly: Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika kwa kunipa fursa hii. Hili ni jambo ambalo ni sugu sana. Kusema kweli, dakika 15 zitakuwa chache sana. Hivi tunavyozungumza, kuja kwa SGR ni maendeleo lakini sasa hivi, kulingana na maelekezo kuwa kasha lolote linalokuja lazima libebwe na SGR mbali na lile kasha ambalo latakikana libakie Mombasa, watu wengi wamefunga maduka. Ukiangalia barabara ya kutoka Nairobi hadi Mombasa, kumekuwa na vitongoji na vijiji kadhaa wa kadhaa ambavyo miaka yote viko na shughuli nyingi. Lakini kutoka shughuli hii ianze, kazi zote zimekufa. Haya si makosa yetu. Kazi ya SGR ilipofanywa, mategemeo ni kuwa ilikuwa ijilipe yenyewe. ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus