Maison Leshoomo

Parties & Coalitions

Born

1962

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

laikipiawest@parliament.go.ke

Telephone

0724958726

Maison Leshoomo

The fact that she received limited education doesn’t stop her from pursuing her dreams. As a victim of retrogressive culture, Leshoomo vows to help other girls to be educated to beat cultural norms that act as a hurdle. Maison’s political journey arose out of a gutsy choice she made to attend public meetings against her husband’s orders. The move opened the door for her to become a nominated councilor in 1992 a position she maintained for 10 years. She joined Maendeleo ya Wanawake in 1995 and rose to become the chairperson in Maralal District. In 2008, the Party of National Unity (PNU) nominated her to parliament. As a long serving member of the Samburu District Peace Committee, she has taken it upon herself to promote peace between the Samburu and the neighbouring communities.

All parliamentary appearances

Entries 11 to 20 of 314.

  • 29 Jun 2021 in National Assembly: Sijakuelewa Mhe. Spika. view
  • 29 Jun 2021 in National Assembly: Wajua Mhe. Spika, kile kitu anashuhudia ni yale sisi tumepitia sote. Basi ningeomba tu kusema akina mama wapewe ulinzi wa kutosha. Ninamwambia mwenzangu ajaribu juu chini kwa sababu hilo ni jambo la maana. Hayo si mambo ya kulegea bali ni ya kuendelea. Sisi sote tumepitia hayo na ndiposa tuko katika hili Bunge. view
  • 29 Jun 2021 in National Assembly: Asante Mhe Spika. view
  • 6 May 2021 in National Assembly: Asante sana Mhe. Naibu Spika kwa kunipatia nafasi hii pia mimi nichangie mambo haya ya BBI. Ninashukuru kwa sababu jana sisi ndio tulifunga Bunge tukingoja kuzungumza. Ningependa tu kusema yale mambo niliyoyabakisha jana. Nikisimama hapa ninasimama kama Mheshimiwa wa Samburu County na pia Memba wa Kamati ya BBI. Kwa hivyo, ninaweza kuzungumza. Tafadhali niseme kile nimeona. Mhe. Naibu Spika, mimi ni mmoja wa wale walizunguka kaunti 47. Nataka niwaambie machache Wajumbe wenzangu. Wakati tulikuwa tunatembea katika kaunti 47, maoni kuhusu BBI, tuligundua kuwa siyo ya wakubwa na siyo ya yeyote. Ni ya mwananchi. Mwananchi ametupatia maoni tofauti tofauti. Naibu Spika, ... view
  • 6 May 2021 in National Assembly: Naibu Spika, wananchi walikataa suala la uteuzi wa wawakilishi wadi na Wabunge lakini wataalam waliangalia sheria itakayotumika kutatua suala hili. Katika Kamati yetu, tulikuwa na wakili, wazee wa dini, akina mama na wataalam wanaoelewa masuala ya Kenya. view
  • 6 May 2021 in National Assembly: I vote yes. view
  • 16 Feb 2021 in National Assembly: Asante, Mh. Spika, kwa kunipa nafasi hii ili nitoe pole zangu na pole za Kaunti ya Samburu kwa wenzetu ambao wameaga dunia. Seneta Yusuf Haji alikuwa kiongozi ambaye hatasahaulika nchini Kenya. Seneta Haji ni mtu ambaye aliishikilia Kenya. Tangu utotoni mwake, alihudumia umma enzi za marais wanne wa Kenya. Ni mzee ambaye tunasema, kwa sababu ni Mwenyezi Mungu amemchukua, amuweke mahali pazuri kwenye roho yake. Seneta Haji ni mtu ambaye aliwalea wengine wetu; ni mzee ametulea. Ni mzee aliyejua njia ya kuongoza. Yeye ni mmoja wa watu ambao walitufanya sisi kuwa viongozi. Seneta Haji hatasahaulika. Mwenyezi Mungu ndiye atakayeturudishia mtu ... view
  • 4 May 2020 in National Assembly: On a point of order. Naibu Spika wa Muda, hakika, kuna majina na orodha pale. Ukiangalia, utakuta hata yule amekuja nyuma yako ameshapata nafasi ya kuuchangia huu Mswada. Niko na uhakika kwamba nilikuwa nyuma ya Mhe. Munyaka. view
  • 4 May 2020 in National Assembly: Ahsante sana Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda. Naomba kusema kuwa mimi ni mmoja wa wanakamati wa BBI. Ingekuwa muhimu kama wenzangu wangekuwa hapa kunisikiliza na kuelewa kile tumepata kutoka Kaunti 47. Kama Rais Uhuru na Waziri Mkuu wa zamani, Mhe. Raila Odinga, hawangechukua jukumu la kuelewana, nchi hii ingekuwa na matatizo mengi sana. Lakini walikubaliana na tukapewa jukumu la kuzitembelea kaunti 47 kuchukua maoni ya wananchi. Viongozi wa Kenya wako kule mashinani pia. Tunasema hivyo kwa sababu haya maoni ambayo yako katika BBI ni ya wananchi. Kile wananchi walitamuka ndicho kiko katika BBI. Hakuna watu walioenda kujitengenezea maoni yao katika ... view
  • 4 May 2020 in National Assembly: Wananchi wana maoni na akili nyingi kushinda sisi tuliochaguliwa hapa. Leaders wako mashinani na wanaendesha Kenya vizuri inavyotakikana. Ningependa kuwaambia wenzangu kwamba tulitembea katika Kaunti 47 na maoni ya BBI ni ya wananchi na wanataka Kenya iwe kitu kimoja. Maoni yao yalikuwa kwamba kama cheo cha rais ndicho peke yake kinaleta vita katika Kenya, tugawanye viti ndiyo kila mtu atosheke. Haya ni maoni ya wananchi na sio ya President Uhuru ama Raila. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus