Maison Leshoomo

Parties & Coalitions

Born

1962

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

laikipiawest@parliament.go.ke

Telephone

0724958726

Maison Leshoomo

The fact that she received limited education doesn’t stop her from pursuing her dreams. As a victim of retrogressive culture, Leshoomo vows to help other girls to be educated to beat cultural norms that act as a hurdle. Maison’s political journey arose out of a gutsy choice she made to attend public meetings against her husband’s orders. The move opened the door for her to become a nominated councilor in 1992 a position she maintained for 10 years. She joined Maendeleo ya Wanawake in 1995 and rose to become the chairperson in Maralal District. In 2008, the Party of National Unity (PNU) nominated her to parliament. As a long serving member of the Samburu District Peace Committee, she has taken it upon herself to promote peace between the Samburu and the neighbouring communities.

All parliamentary appearances

Entries 301 to 310 of 314.

  • 24 Jun 2009 in National Assembly: Bw. Naibu Spika, ningependa kupeana stakabadhi zinazoonyesha ukweli wa mambo. Stakabadhi hizi zitasaidia wanajeshi kujua yaliko mabomu hayo. Itakuwa bora kama Wanajeshi wataenda watoe mabomu hayo kwa sababu yanaleta shida nyingi. view
  • 23 Jun 2009 in National Assembly: Bw. Spika, watu wengi wanakufa njaa katika sehemu nyingi hapa nchini. Ni kigezo gani Serikali inatumia kugawa vyakula vya msaada hapa nchini? Chakula hiki huchukua muda gani kuwafikia wanachokihitaji kwa sababu huchukua zaidi ya miezi mitatu kufika Samburu. view
  • 10 Dec 2008 in National Assembly: alimuuliza Waziri wa Maji na Unyunyizaji:- (a) anachukua hatua gani kuhakikisha kuwa mabwawa yaliyozibwa na mchanga katika Wilaya ya Samburu yamerekebishwa; na, (b) Serikali ina mipango gani kuchimba visima katika eneo hilo ili kukomesha shida ya ukosefu wa maji. view
  • 10 Dec 2008 in National Assembly: Bi. Naibu Spika wa Muda, ni kweli kuna visima 93 vimetengenezwa katika eneo la Samburu yote; wamesema wamevichimba, lakini hawajaonyesha viko wapi. Hatujaviona! Kuna shida kubwa ya maji na sijui kama Wizara ya Maji na Unyunyizaji Wilayani Samburu ina hakika kuwa visima vinachimbwa ama vimeandikwa tu katika vitabu. view
  • 10 Dec 2008 in National Assembly: Bi. Naibu Spika wa Muda, pengine Waziri Msaidizi angetujulisha vizuri ikiwa hayo mabwawa ni 93. Lakini mabaya zaidi ni 43, na eneo hilo linategemea hayo mabwawa zaidi. Wananchi watafanya nini? view
  • 3 Dec 2008 in National Assembly: alimuuliza Waziri wa Ardhi:- (a) je, Waziri anatumia mbinu gani kuwateua wanachama wa Halmashauri ya Ardhi (yaani, Land Control Boards) kote nchini; (Mr. Rai): Bw. Spika, ninaomba kujibu. (a) Ni kweli nina jukumu la kutangaza katika Gazeti Rasmi kuchaguliwa kwa maafisa wa Land Control Boards kulingana na sheria za Kenya; Sheria No.302, Sheria za Kenya. (b) Ninakubali kwamba majina yaliyowasilishwa mnamo tarehe 2.11.2007 kutoka Tarafa ya Lorroki yalihusisha majina ya bwana na bibi yake. Majina kutoka Kirisia yalihusisha familia moja. Ningetaka kulifahamisha Bunge hili kwamba Mkuu wa Wilaya ya Samburu amefahamishwa kuhusu makosa yaliyofanyika na amepewa jukumu la kuhakikisha kwamba ... view
  • 3 Dec 2008 in National Assembly: Bw. Spika, asante kwa hilo jibu. Si jambo zuri ikiwa kamati itateuliwa kutoka kwa familia moja. Ningemuomba Waziri Msaidizi atimize jambo hilo. Hii sheria inafaa kutekelezwa mashinani ili kila Mkenya ajue ni nini kinachofanyika katika Kenya. view
  • 3 Dec 2008 in National Assembly: Bw. Spika, ni kamati gani ambayo inakaa? Inakaa kutoka wapi? Kutoka Nairobi ama mahali watu waliko ndio tuelewe? view
  • 7 Aug 2008 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika, nimesimama kuunga mkono Hoja hii. Nimeshangaa na kushtuka kuona kwamba waheshimiwa Wabunge hawataki kwenda nyumbani. Mimi ni mtu wa view
  • 7 Aug 2008 in National Assembly: . Ninajua kwa kweli waheshimiwa Wabunge walichagaliwa na watu wa grassroots hasa akina mama. Yule mama anataka kumwona Mbunge wake akimtembelea kule mashinani. Kwa hivyo, mimi ninaomba tuende nyumbani ili wananchi pale grassroots wapate nafasi ya kukutana na Wabunge wao. Pia ningependa kusema kuna kilio kingi. Jana, tuliona katika Kenya Gazette kuna view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus