The fact that she received limited education doesn’t stop her from pursuing her dreams. As a victim of retrogressive culture, Leshoomo vows to help other girls to be educated to beat cultural norms that act as a hurdle. Maison’s political journey arose out of a gutsy choice she made to attend public meetings against her husband’s orders. The move opened the door for her to become a nominated councilor in 1992 a position she maintained for 10 years. She joined Maendeleo ya Wanawake in 1995 and rose to become the chairperson in Maralal District. In 2008, the Party of National Unity (PNU) nominated her to parliament. As a long serving member of the Samburu District Peace Committee, she has taken it upon herself to promote peace between the Samburu and the neighbouring communities.
7 Aug 2008 in National Assembly:
ambao walitolewa na wengine kuteuliwa kuchukua mahali pao. Hicho pia ni kilio kutoka Constituency zetu. Pia, inafaa turudi nyumbani kuangalia kilio cha wale waliotimuliwa. Waheshimiwa Wabunge wanatakiwa kutumia kipindi hiki cha mapumziko kutatua shida zinazowakabili madiwani waliotimuliwa kutoka nyadhifa zao. Mimi ni Nominated na ninapenda kwenda nyumbani kufanya kazi kwa sababu sitaki kurudi Bunge nikuwa nominated . Ninataka 2464 PARLIAMENTARY DEBATES August 7, 2008 kurudi nikiwa elected ! Thank you.
view
8 Jul 2008 in National Assembly:
Bw. Spika, naomba kumuuliza Waziri wa Utawala wa Mikoa na Usalama wa Ndani Swali Maalum lifuatalo. (a) Je, Waziri ana habari kwamba kuna vita vikali baina ya jamii za Turkana na Samburu vinavyoendelea katika tarafa ya Baragoi na Ng'iro katika eneo la Samburu Kaskazini, ambapo wahalifu kutoka jamii ya Turkana wameshambulia manyatta za watu wa jamii ya Samburu, wakaiba takriban ng'ombe 400 na kuua watu kadhaa? (b) Waziri ana habari kwamba watu kutoka jamii ya wa Pokot vilevile wanaendelea kuwashambulia jamii ya wa Samburu katika tarafa za Kirisia na Loroki katika eneo Bunge la Samburu ya Kati? (c) Serikali imechukua ...
view
8 Jul 2008 in National Assembly:
Bw. Spika, nimeshtuka sana kusikia kwamba Waziri Msaidizi hana jibu ilhali watu wanakufa na mali yao kuibwa. Watoto wameacha shule. Hakuna mtoto aliye shuleni katika tarafa hizo zote. Pia watoto wanakufa. Tarehe 1 Julai, 2008, nililia machozi nilipopigiwa simu kwamba watu wanakufa. Je, Serikali ina mpango gani kusimamisha vita hivyo? Kwa wakati huu, kuna njaa huko. Watu wanakufa na ng'ombe wanaibwa. Je, tutaelekea wapi?
view
8 Jul 2008 in National Assembly:
Bw. Spika, nitakubali apewe muda lakini, je, watu wataendelea kufa mpaka atakapopata jibu la Swali hili?
view