Mishi actively participated in Likoni political campaigns in 1997 and 2002. She vied for Likoni parliamentary seat in 2007 and lost in party nominations which were marred by irregularities. She would like to see government funded drug rehabilitation centres established in Mombasa.
12 Oct 2016 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Chairman. I want to support the Chair on this amendment. The National Assembly is a platform for the public and they need to be involved in all development issues regarding this country. For the expenditure incurred by the security forces, the public also needs to know what we are using and what we are getting. So, this is a proper amendment which we all need to support. Thank you.
view
12 Oct 2016 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Chairman. I would like to congratulate the Chairman of the Committee for this good amendment. According to the Constitution, Kenyans are entitled to treatment. It is paramount that members of our armed forces get proper treatment. Some members of our Defence Forces have been seriously injured in the past. Some have lost their lives while defending our nation, for example, during the recent attacks by Al-Shabaab . Compensation should be made in good time so that the families of the officers who lose their lives during attacks can move on with their lives well.
view
11 Oct 2016 in National Assembly:
Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi kuzungumzia Mswada huu ambao unazungumzia taratibu za shule za chekechea. Masomo ya shule za chekechea ndiyo nguzo ya masomo katika zile ngazi zote mpaka chuo kikuu. Kwa muda mrefu sana, nchi yetu ilikuwa imepuuza masomo hayo ya chekechea. Hivyo basi, watoto wengi wamekosa kupata masomo ya chekechea. Ni muhimu sana na nimefurahi kwamba Mswada huu unazungumzia miundo misingi ya kuwezesha kuwepo, katika hii Jamuhuri yetu ya Kenya, shule za chekechea. Ingekuwa vizuri zaidi iwapo tunajenga shule mpya, tujenge hapo hapo shule ya chekechea, shule ya msingi na shule ya upili. ...
view
11 Oct 2016 in National Assembly:
kitaifa inayoshikilia kwamba ili mtu afuzu kutoka taasisi ya kuwafunza walimu wa shule za chekechea, sharti awe amesoma kwa muda fulani ndiposa apate shahada. Kwa hivyo, mikakati hii lazima tuiangalie ndiyo tujue kwamba watoto wetu watapata mafunzo yaliyosawia na kanuni zetu. Tukifanya hivyo, tutaboresha elimu ya watoto wetu. Vilevile, lazima tuwaangalie watoto ambao wana ulemavu. Ama kwa kweli, sisi kama Wakenya hapa tumeanguka mtihani. Hii ni kwa sababu hata katika shule zetu za msingi, bado hatuna miundo misingi ya kuwawezesha watoto walemavu kupata elimu bora kama wale watoto wasio na ulemavu wowote. Kwa hivyo, ni lazima serikali za kaunti - ...
view
29 Jun 2016 in National Assembly:
Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi hii. Kwanza, ninataka kumpongeza Mhe.Yusuf kwa kutuletea Hoja hii ambayo inatupatia historia yetu kama Wakenya. Tunatakikana kuzingatia Hoja hii. Pengine wengine wanaona ni Hoja isiyokuwa na uzito lakini ina uzito sana haswa tukiangalia kuwa lazima tuwe tunajiashiria na kuambia vizazi vyetu pale tulipotoka. Tunaona viongozi wengi wetu ambao sasa wako mbele katika utetezi wa haki, walitetea nchi yetu kwa kupambana na wale wabeberu mpaka sisi tukapata Uhuru. Kiwanja hiki kilikuwa mojawapo ya viwanja ambavyo watu walikuwa wakikutana wakitathmini na wakizungumzia njia mwafaka ya kutupa ukombozi. Kiwanja hiki lazima kiangaliwe na ...
view
29 Jun 2016 in National Assembly:
ndiposa unaposema ni kiwanja cha historia, kila mmoja ataweza kukijua. Tuweze kupata zile pambo mwafaka za kuwekwa pale na majina ya wale mashujaa wetu ambao wamepigania Uhuru wetu. Kama vile mwenzangu, Mhe. Ali, amesema, sisi tumewasahau mashujaa wetu. Juzi nilikuwa America na tukatembea sehemu ya Rhode Island mahali ambapo kunajengwa nyumba nyingi, takriban nyumba 200 za wale waliopigania uhuru. Kumejengwa nyumba za kisasa ambapo wamewekewa makanisa, benki na hao mashujaa wamewekewa mnara wa historia yao. Hapa kwetu tunawakumbuka tu wakati tuna siku zetu mwafaka za kihistoria kama Madaraka Day na tunasema tunawakumbuka wale waliopigania Uhuru. Tunapokumbuka siku hizi za kihistoria, ...
view
5 May 2016 in National Assembly:
Hon. Temporary Deputy Chairlady, I beg to move:- THAT, clause 45 of the Bill be deleted.
view
5 May 2016 in National Assembly:
Hon. Temporary Deputy Chairlady, this is against the Constitution. We have devolution and we want to have structures at the county level so that citizens at the county can access services by the National Land Commission (NLC). Article 62(2) of the Constitution states: “Public land shall vest in and be held by a county government for the people resident in the county, and shall be administered on their behalf by National Land Commission.” If the NLC administers the land on behalf of the county government, then we should have a structure. The county land management boards were created by the ...
view
5 May 2016 in National Assembly:
Well guided, Hon. Temporary Deputy Chairlady. The Supreme Court recently upheld the county land management boards.
view
5 May 2016 in National Assembly:
The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view