Mohamed Faki Mwinyihaji

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1151 to 1160 of 2123.

  • 4 Nov 2021 in Senate: Madam Temporary Speaker, I also want to join my colleagues, Sen. Sakaja, Sen. Olekina and Sen. Dullo, to emphasize the fact that when we request for Statements in this House, they are supposed to be acted upon so that we report back to our constituents on what has happened on those Statements. It is not proper for a Statement to be read in this House and then a committee kills it. A petition was brought here by residents of Buxton Estate sometime early this year, but up to now, there is no report. We just have a ping-pong game. They ... view
  • 4 Nov 2021 in Senate: Asante Bwana Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii kuchangia Ripoti ya Kamati ya Ajira na Huduma za Jamii. Jana nilikatizwa nilipokuwa natoa sababu za kutokuwa na ufahamu baina ya waajiri na wale wafanyi kazi ambao wanatoka hapa Kenya kuenda kufanya kazi kule Saudi Arabia na kwengineko. Lugha ni jambo ambalo linaleta shida baina ya wafanyikazi na waajiriwa wao. Waajiri wengi wanatumia lugha ya Kiarabu na Wakenya wengi wanatumia Kiingereza, Kiswahili na lugha zao za mama. Kwa hivyo, mawasiliano baina ya muajiri na mfanyajikazi wake inakua ni shida. Kitu kingine ni kwamba hakuna mafunzo wanayopewa wale ambao wanasafiri kuenda sehemu ... view
  • 4 Nov 2021 in Senate: Nilimjibu nikamwambia, ‘you are the one who was paid to take her there so, why view
  • 4 Nov 2021 in Senate: Aliniambia, ‘she complained she was sick and was taken to a public hospital. She view
  • 4 Nov 2021 in Senate: hivyo tu. Did we send herfor honeymoon? Of all the girls we have sent, it is only her who is complaining. We dideverything within our capabilities.” view
  • 4 Nov 2021 in Senate: Ningependa aniache nimalize kwa sababu akinipa Taarifa--- view
  • 4 Nov 2021 in Senate: Singependa aniarifu kwa sababu inahitilafiana na mwongozo wangu ambao nimeuweka kuweza kuchangia swala hili. Naipongeza Kamati hii kwa kuja na mapendekezo haya. Wengi wa wale amabo wanapata shida sio kwamba hawawezi kufanya kazi, bali kwa sababu mazingira ya kazi sio mazuri kama walivyokuwa wametarajia. Ni bora kwamba kuwe na njia ambayo ikiwa mtu ameshindwa kufanya kazi, kama ni kurejeshe nauli ya ndege, aruhusiwe kurejesha nauli ya ndege na apewe tiketi yake ya ndege kurudi Kenya. Akifika Kenya familia ama wale wahusika warejeshe pesa ya watu ya ndege. Si kwamba mtu aendelee kuzuiliwa, katika sehemu za Ughaibuni bila ya kuwa na ... view
  • 3 Nov 2021 in Senate: Bwana Spika wa Muda, kuna wale ambao wanataka kuongea kwa muda mrefu. Hatuwakatazi kwa sababu ni haki yao ya kidemokrasia katika Bunge hili. Kuna wale ambao wanataka kuongea kwa muda mchache. Kuweza kupata ule uwiano, wale ambao wanataka kuongea kwa muda mchache wapewe nafasi waongee waondoke. Wale wanataka dakika 10 au 20 watamaliza. view
  • 3 Nov 2021 in Senate: Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kuchangia ripoti ya Kamati ya Ajira na Huduma za Jamii ya Bunge la Seneti kuhusiana na wafanyikazi wanaofanya kazi ughaibuni hususan Mashariki ya Kati. Hiyo ni katika nchi za Saudi Arabia, Umoja wa Falme za Kiarabu, Qatar na nyingine ambazo ziko eneo hilo kama Kuwait na kwingineko. Kwanza, ningependa kuipa kongole kamati hii kwa kuweza kulizamia jambo hili na kuja na ripoti ambayo inaridhisha kabisa. Nimeweza kuisoma kwa mtazamo fagia ripoti hii. Japo kuwa nimesikia Maseneta kadhaa wakisema kwamba kuna pendekezo la kusimamisha uajiri huu kwa muda wa miezi sita, nimeangalia ... view
  • 3 Nov 2021 in Senate: Bw. Spika wa Muda, ndio aniarifu. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus