11 May 2021 in Senate:
Bw. Spika, nampongeza sana Sen. Sakaja kwa kusahihisha swala hilo. Nimetaja vifungu viwili vya Sheria ya Katiba ambavyo vinagongana. Ni ukweli, Bunge ndio taasisi inayojadili na kupitisha sheria katika Jamuhuri ya Kenya. Mswada wowote ambao unaletwa hapa Bunge ni lazima upitie hatua zote tatu kabla ya kupitishwa na kuwa sharia. Ni lazima usomwe mara ya kwanza, pili na tatu ambapo unaweza kupitishwa au ukataliwe. Ni nini majukumu ya Bunge katika vifungu hivi vitatu? Je, jukumu la Bunge ni kuangalia au kushangilia bila kutoa maoni yake? Je, Bunge ina jukumu ya kuweza kuchunguza Mwada wa sheria na kuona kwamba unaambatana na ...
view
11 May 2021 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
11 May 2021 in Senate:
tunabaguliwa wazi. Hata zile nafasi za kuteuliwa, kwa mfano katika Bunge, sisi kama watu wa Pwani hatuzipati. Jambo la pili ni kuwa hili swala la inclusivity lisiwe kwamba tunapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa; yaani, tupitishe halafu baadaye tunawachwa mataani kama tulivyo achwa muda uliopita. Jambo la tatu ni ofisi ya Ombudsman katika taasisi ya mahakama. Taasisi ya mahakama inatakikana iwe huru bila kuingiliwa na taasisi yote ama upande wowote katika maswala haya. Kuwepo kwa Ombudsman kwa hakika italeta mtafaruku katika taasisi ya mahakama, kwa sababu wakati Jaji atakapokuwa anaandika hukumu yake atakuwa anaangalia kwenye bega lake na kujiuliza, “Je, ...
view
11 May 2021 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
11 May 2021 in Senate:
Bw. Spika, swala la maeneo Bunge limeleta utata kwa sababu halijatolewa kwa usawa. Tunaona kuwa maeneo mengi ambayo yanahitaji maeneo zaidi yamenyimwa. Ijapokua Mombasa inaongezewa viti vitatu vya Bunge, hiyo haitoshi kabisa. Mombasa imekuwa maradufu kwa muda wa miaka kumi na tunahitaji viti zaidi ya vitatu ambavyo tunaweza kupata hivi sasa. Pia tutakuwa tunakiuka Katiba kwa sababu swala la mipaka ya maeneo ya bunge hushughulikiwa na tume ya IEBC. Tume hii husimamia maswala ya ugavi wa maeneo bunge kwa kuzingatia wingi wa watu, mambo ya kiuchumi na usawa wa kuwakilishwa. Hii ni kwa sababu kuna maeneo mengi makubwa ambayo ni ...
view
11 May 2021 in Senate:
Madam Deputy Speaker, Mombasa votes yes.
view
11 May 2021 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, on behalf of the people of Mombasa and Kenyans in general, I vote ‘yes’.
view
6 May 2021 in Senate:
Asante Bw. Spika. Yangu yatakuwa mafupi sana. Tumefanya baadhi ya impeachment kutumia Kamati na nyingine tukafanya kupitia Bunge nzima la Seneti. Bunge nzima la Seneti linatoa uwazi zaidi kuliko kujifungia katika Kamati. Tuliona katika impeachment ya Taita Taveta na Kirinyaga, Kamati ilitoa uamuzi wake. Kwa hivyo, haina uwazi. Ninapendekeza impeachment ifanywe kupitia Bunge lote Seneti kwa sababu tutaonekana wazi na kila mtu. Makosa yatasomwa paruwanja. Kinyume na wale wanaosema kwamba gavana apewi nafasi nzuri ya kujitea---
view
6 May 2021 in Senate:
Bw. Spika, ninaomba unilinde kutokana na jirani wangu, Sen. Wako.
view
6 May 2021 in Senate:
Bw. Spika, huwa tunampa heshima yote Sen. Wako anapozungumza.
view