Mohamed Faki Mwinyihaji

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1521 to 1530 of 1994.

  • 10 Mar 2020 in Senate: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. I am disappointed by my neighbour here, Sen. Wambua. This is because whenever I go to the gym and he sees me there, it is because I will have already done my workouts at Nyayo National Stadium, where we go to play football every Tuesday, Wednesday and Thursday morning. He should withdraw the remark that I go to the gym to read newspapers. In fact, my record in Bondo the other day is very clear. Recently, I scored a beautiful goal at Nyayo National Stadium, and my record is there. view
  • 10 Mar 2020 in Senate: Asante Bw. Naibu Spika kwa kunipa fursa hii kuomba Taarifa kuambatana na kifungu 48(1) cha Kanuni za Bunge la Seneti. Nimesimama kuomba taarifa kutoka Kamati ya Kudumu ya Barabara na Uchukuzi kuhusu ubomoaji wa makazi ya watu wa eneo la Mwaeba Ward, Miritini, eneo Bunge la Jomvu katika Kaunti ya Mombasa. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 10 Mar 2020 in Senate: Kwenye taarifa hiyo, Kamati inafaa kueleza kwanza sababu ya Shirika la Usimamizi wa Vinywanja vya Ndege, Kenya Airports Authority (KAA), kuwavunjia makazi wakaazi wa eneo la Mwaeba wanaoishi karibu na uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Moi, Jijini Mombasa. Pili, kueleza mikakati iliyowekwa na Serikali kuzilipa ridhaa na kuzipa--- view
  • 10 Mar 2020 in Senate: Bw. Naibu Spika, pili, kueleza mikakati iliyowekwa na Serikali kuzilipa ridhaa na kuzipa makazi mbadala zaidi ya familia 100 zilizoathiriwa na ubomoaji huo. Tatu, kueleza ni kwanini waathiriwa wa ubomoaji hawakupewa ilani au taarifa ya mapema kuhama makao yao kabla ya ubomozi kutekelezwa. Nne, kueleza mipango ya kusitisha ubomoaji huo ili kutoa fursa kwa Kamati husika kuchunguza swala hili na kutoa jibu muafaka. Asante. view
  • 4 Mar 2020 in Senate: Hoja ya nidhamu, Bw. Spika. view
  • 4 Mar 2020 in Senate: Bw. Spika, sio nia yangu kumsimamisha Sen. Zawadi, lakini anaposema kwamba mwanamke ni kiumbe maalumu au tofauti, wakati twajua kuwa mwanamke alitoka katika ubavu wa mwanamume--- view
  • 4 Mar 2020 in Senate: Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii kuchangia hoja ya Seneta wa Nakuru, Sen. Kihika. Kwanza, nampongeza Sen. Kihika kwa kuleta Mswada huu kuadhimisha siku ya kina mama ambayo itakuwa tarehe nane, mwezi wa tatu mwaka huu. Ijapokuwa wanawake walipata matatizo mengi huko nyuma, sasa hivi tunaona kuna mwangaza umetokea katika vita vyao dhidi ya kubaguliwa; dhidi ya zile itikadi za zamani ambazo ni kinyume na maadili na kanuni; na vile vie pia dhidi ya ujinga. Wakati tulipopata Uhuru mara ya kwanza, tulikuwa tunapigana vita mbili; umaskini na ujinga. Kwa hivyo, tumeona kwamba wanawake wamepiga hatua kubwa katika vita dhidi ... view
  • 4 Mar 2020 in Senate: Hili ni jambo la kutia moyo sana, kwa sababu limeweza kuwainua wasichana wadogo. Hii ni kwa sababu wao pia watakuwa na matumaini kwamba Serikali inaangalia masilahi yao, na pia kuwa wanaweza kuongoza katika nchi hii. Bw. Spika, nikimalizia ni kwamba hili ni jambo ambalo lazima tuwatie moyo wanawake, wahakikishe kwamba wanaweza kufikia malengo yao kwa upeo mkubwa zaidi. view
  • 4 Mar 2020 in Senate: Inasemekana kwamba kwa kila mwanamke aliyefaulu, kuna mwanamume anayemuunga mkono. Lazima tuhakikishe tunasaidia wanawake kutimiza malengo yao ya kimaisha na vile vile ya ulimwengu utakaofuata. Bi. Spika wa Muda, wasichana wetu lazima walindwe kutokana na itikadi mbovu kama vile ukeketaji, ndoa za mapema na mambo mengine kama ubakaji kwa sababu wao ndio--- view
  • 25 Feb 2020 in Senate: On a point of information, Mr. Deputy Speaker, Sir. I just want to inform my brother, Sen. Mutula Kilonzo Jnr. that the cockroach--- I mean cockerel--- view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus