Mohamed Faki Mwinyihaji

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1561 to 1570 of 1994.

  • 19 Feb 2020 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 19 Feb 2020 in Senate: Kwa kumalizia, Bw. Naibu Spika, hatari nyingine inayowakumba wavuvi katika eneo la Mombasa ni ukataji kiholela wa mikoko. Mikoko huwapa samaki fursa ya kuzaana, na pia kuondoa hewa sumu kutoka katika mazingira na kuleta hewa safi. Mikoko huwa kama misitu inayosaidia kuhami maeneo ya bahari. Wakati mikoko inakatwa kiholela, ina maana kwamba zile sehemu ambazo samaki wanaweza kutumia kutaga mayai zinaharibika, na hatutaweza kupata samaki wengi kama vile ambavyo tungeweza kupata wakati mikoko ile itazingatiwa kulindwa. Kwa hivyo, inamaanisha kwamba iwapo mikoko itakatwa baharini, sehemu zote ambazo samaki hutumia kutaga mayai zitakuwa zimeharibika, na kutakuwa hakuna mahali pa kutaga samaki. ... view
  • 18 Feb 2020 in Senate: Asante, Bw. Spika kwa kunipa fursa kuchangia malalamiko ambayo yameletwa na Sen. Anuar. Kwanza, ninachukua fursa hii kumpongeza Sen. Anuar kwa kuleta Ombi hili katika wakati mwafaka ambapo wananchi wengi, husasan katika maeneo ya Lamu, wanapata shida za huduma za afya ambazo ni muhimu katika maisha ya binadamu. Bw. Spika, Lamu si kama sehemu zingine ambapo unaweza kwenda katika kaunti jirani kupata matibabu. Jirani wa Kaunti ya Lamu ni Kaunti ya Tana River ambako kuna shida nyingi zinazohusiana na matatizo ya afya. Kwa hivyo, swala la Lamu linafaa liangaziwe kwa karibu kwa sababu ni shida kupata usafiri wa kutoka mjini ... view
  • 29 Jan 2020 in Senate: Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii. Kwanza ningependa kuunga mkono Hoja ya kumpeleka Gavana wa Kiambu, Gavana Waititu. Bw. Spika, swala la kwamba hakupewa nafasi ya kujitetea ni swala ambalo si la kweli. Gavana Waititu alikuwa hapa jana na leo. Jana alisema kwamba alikataa kwenda The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 29 Jan 2020 in Senate: kwenye County Assembly ya Kiambu kwa sababu kungekuwa na mtafaruku. Hapa leo amepewa fursa ya kujitetea, lakini akatoa taarifa bila kula kiapo. Swala lililokuwa hapa ni kwamba kulikuwa na ushahidi kwa kiapo kusema kwamba yeye amemuoa bibi anayeitwa Susan Wangui Ndung’u, mke wake wa ndoa kwa kulingana na mila za Kikuyu. Wakataja watoto wake kwamba wamehusika katika kupewa zabuni katika Kaunti ya Kiambu wakati yeye kama gavana alikuwa hukustahili kutoa zabunii kwa watu wale. Ushahidi huu wote upo katika mikono ama korti ya mwananchi. Hii ina maana kuwa ni ushahidi ambao ni wa uhakika wakuweza kumpata na hatia. Bw. Spika, ... view
  • 29 Jan 2020 in Senate: Asante, Bw. Spika. Kulikuwa na ushahidi wa Tume ya Mamlaka ya Sheria; Commission for Administrative Justice. Uamuzi ule ulitolewa kutoka September 2019, ilhali Gavana Waititu hakuchukua fursa yoyote ya kuenda mahakamani kupinga uamuzi ule, wala hakuchukua fursa yoyote ya kuenda katika Tume ile kujitetea ili kuona kwamba jina lake limesafishwa. Kunyamaza wakati Tume kama hii ya kisheria ambayo iko katika Katiba imetoa maamuzi--- view
  • 29 Jan 2020 in Senate: Bw. Spika, ningeomba uniongeze dakika kwa sababu muda wangu mwingi--- view
  • 5 Dec 2019 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. I rise pursuant to Standing Order 232(1) to present a Petition by residents of Ganjoni, Mombasa County, concerning harmful effects resulting from the loading and offloading of iron ore. The residents of Ganjoni, Mombasa County, draw the attention of the Senate to the following:- (1) Iron ore, owned by the South Africa Ports Terminals Limited is being stored in an open field at COMACO, near the Port of Mombasa. The loading and offloading of iron ore during the day and night results in noise pollution, which inconveniences the residents of Ganjoni area. (2) The residents ... view
  • 3 Dec 2019 in Senate: It is 14 days. view
  • 3 Dec 2019 in Senate: On a point of information, Mr. Speaker, Sir. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus