20 Nov 2019 in Senate:
(6)Innovation in Parliament: The Possible Effects of the United Kingdom ‘Brexit’ on Small Branches. The workshop focused on the effects of ‘Brexit’ on the parliamentary procedures in the UK and how small parliaments can benefit, learn from the ramifications, and strengthen the workings of their legislatures. (7)Fostering a Culture of Respect, Fairness and Dignity: Sexual Harassment has no place in Legislatures. The workshop established that it is the responsibility of all political actors, men and women to delegitimize such deplorable and dehumanising cultures and create free and secure legislatures for all parliamentarians. (8)The role of Parliament in the doctrine of ...
view
20 Nov 2019 in Senate:
confirmed by Members as the Executive Committee to the position of Vice Chairperson of the CPA Executive Committee. In conclusion, I urge the Senate to note this Report and put in place mechanisms for the implementation of the resolution of the various sessions and workshops of the conference. Madam Temporary Speaker, I beg to move and now request Sen. Madzayo to second the Motion.
view
19 Nov 2019 in Senate:
On point of order, Mr. Speaker, Sir.
view
19 Nov 2019 in Senate:
Mr. Temporary Speaker, Sir, it was not constantly on intervention. I wanted to draw your attention to a Statement that I requested last week. I requested for a Statement on the Football Kenya Federation (FKF) elections, which are scheduled to take place this weekend. I wanted to find out whether the Statement was assigned to any Committee and what the Committee is doing with it. This is because the elections are scheduled to start this weekend. If they proceed, then whatever I requested for in the Statement will be overtaken by events.
view
13 Nov 2019 in Senate:
Asante, Mheshimiwa Spika, kwa kunipa fursa hii kuchangia maombi ya Sen. Cherargei. Kwanza, ninampongeza Sen. Cherargei kwa kuleta maombi haya katika Bunge la Seneti. Juzi tulikuwa safari Tana River ambapo tuliona wananchi walivyokuwa wakipata shida kwa sababu ya kusimamishwa kazi kwa madaktari pamoja na wauguzi. Wagonjwa wengi waliokuwa Hospitali Kuu ya Hola, walikuwa hawana huduma kwa sababu madaktari na clinical officers wote walikuwa kwenye mgomo. Mhe. Spika, kwa hakika sijui kuna shida gani kwa sababu hata amri za mahakama za wafanyi kazi haziheshimiwi. Hiyo inaonyeshwa kwamba, tunapoteza mwelekeo. Ikiwa mahakama itatoa amri na isitekelezwe inamaana kuwa, tunapuuza tasisisi ambazo zinaweza ...
view
13 Nov 2019 in Senate:
Asante, Naibu Spika, kwa kunipa fursa hii kuunga mkono Mswada wa Sheria ya Mbinu M’badala za Kutatua Mizozo ya Kibiashara na ya Kijamii. Kwanza, ningependa kumpongeza Sen. Kasanga, kwa kutayarisha Mswada huu; na pia kwa hisia nzito ambazo amezionyesha kwa kutaka kupitishwa Mswada huu. Namuunga mkono na kumshauri kwamba aendelee na moyo huo huo, ili aweze kuweka alama katika kazi yake katika Bunge hili la Seneti. Pili, maswala ya kutatua mizozo kwa mbinu mbadala sio maswala ya sasa; bali yamekuwa nasi kwa muda mrefu katika nchi yetu ya Kenya. Kabla ya kuja Mkoloni, kila jamii Kenya ilikuwa na mbinu zake ...
view
13 Nov 2019 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
13 Nov 2019 in Senate:
atakuwa na haki ya kutafuta haki katika mahakama, na mahali pengine ambapo haki inapatikana. Kwa hivyo, Mswada huu utachangia pakubwa ile ari ya Wakenya kutatua matatizo yao kwa njia ya usalama bila matatizo. Tayari tuko na sheria ya Usuluhishi; yaani Arbitration Act, ambayo inatumika katika maswala haya. Lakini sheria hiyo suluhishi haipatikani kwa watu wengi sana, kwa sababu matatizo mengi huwa hayana mikataba. Tukiangalia zaidi katika Sheria ya Usuluhishi, yaani Arbitration Act, inaangalia zaidi makubaliano ya kibiashara. Sheria hii iko na kifungu kinachosema kwamba iwapo kutakuwa na mzozo au jambo lolote ambalo linaleta utata, utata ule utapelekwa kwa kamati ambayo ...
view
13 Nov 2019 in Senate:
ama taasisi zingine ambazo zimewekwa kusuluhisha matatizo hayo. Kwa hivyo, sheria hiyo inalenga kusaidia upatanishi na usuluhishi, yaani conciliation andmediation, ambazo ndizo zilizolengwa na sheria hii.
view
13 Nov 2019 in Senate:
inafanyika hivi sasa, kwa sababu, ukienda katika sehemu nyingi katika kaunti zetu, kwa mfano kule Mombasa, kuna sehemu ambayo iko katika eneo la Miritini katika Jomvu Constituency, ambapo kila Jumapili, watu walio na matatizo ya kijamii – kama matatizo ya ndoa na matatizo madogo madogo kama ya mipaka – wanakuja kukaa chini na kuna wazee ambao wanakuja kuyatatua matatizo kama hayo. Kwa hiyo, Sheria hii, itaweza kusaidia kuleta kutambulika kwa kazi ambazo zinafanyika kwa wale ambao tayari wanafanya kitamaduni, na vile vile watu wengine ambao wameingia katika taaluma hii kwa sasa. Kwa mfano hivi sasa, kuna vyama tofauti ambavyo vimeundwa ...
view