29 May 2024 in Senate:
Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir. I beg to lay the following Paper on the Table of the Senate, today, 29th May, 2024- Report of the Mediation Committee on the Division of Revenue Bill (National Assembly Bills No.14 of 2024). I thank you.
view
29 May 2024 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, I beg to give Notice of the following Motion - THAT, the Senate adopts the Report of the Mediation Committee on the Division of Revenue Bill (National Assembly Bills No. 14 of 2024), laid on the Table of the Senate on Wednesday, 29th May, 2024, and that pursuant to Article 113(2) of the Constitution and Standing Order No.167(3) of the Senate, approves the mediated version of the Bill. I thank you.
view
29 May 2024 in Senate:
Asante, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kuchangia Mswada wa Mabadiliko wa Sheria ya IEBC. Ni masikitiko kwamba zaidi ya mwaka mmoja, hatujakuwa na tume ya uchaguzi katika nchi yetu. Mswada huu utasaidia pakubwa kuweka tume ofisini ili iweze kufanya kura katika maeneo Bunge kadhaa na pia maeneo ya wadi ambayo hayana wawakilishi kwa sasa. Jambo la msingi ni kwamba wale ambao watachaguliwa kwanza kwa lile jopo la The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate.
view
29 May 2024 in Senate:
kuchaguana na pia wale makimishina watakochaguliwa, wanafaa wawe watu wa tajiriba na wenye ukweli na kusimamia haki. Hii ni kwa sababu kutoka tuanze kupiga kura, mahali panaleta shida sana ni kwa tume ya uchaguzi wa kura. Hii ni kutoka tulipoanza kura za kwanza ya vyama vingi mwaka 1992 mpaka 2002, tulipopata kura ya kwanza ambayo ilikuwa haina shaka. Bi. Spika wa Muda, tumeona zile kura zilizofata baadae zikiwa na shida hata kwenda mahakamani. Kwa upande mwingine, mahakama pia zimeleta hukumu zingine hazieleweki.
view
29 May 2024 in Senate:
Kwa hiyo, tukipata watu wenye tajiriba kuu ambao wanaweza kusimamia haki, itakuwa bora kwa nchi yetu kwa sababu, tutaweka matatizo yanayotokea baada ya kura kuisha katika kaburi la sahau. Vilevile, sheria hii itatoa nafasi kwa IEBC kusimamia mipaka ya maeneo bunge na wadi katika nchi yetu. Tumeona kwamba kutoka katiba ipitishwe mwaka wa 2010, hatujaweza kukagua tena maeneo bunge ili kubadilisha majina ama kutoa mipaka mipya ya maeneo yetu. Kumekuwa na mkurupuko wa wingi wa watu katika maeneo yetu. Tunapata kwamba maeneo mengine yana watu wengi kupita kiasi. Sio sawa kwa eneo bunge kuwa na wapigaji kura zaidi ya laki ...
view
28 May 2024 in Senate:
Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii kuchangia Ripoti ya Kamati ya Utaratibu na Kanuni. Ripoti imezungumzia kwa ufasaha mambo kadhaa. Lakini mimi nitagusia mambo mawili peke yake. Kwanza ni kwamba---
view
28 May 2024 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I had no intention of debating the amendment.
view
28 May 2024 in Senate:
Thank you, Mr. Temporary Speaker, Sir, for giving me this opportunity to second the Bill by Sen. Kibwana. The Bill is very important because it provides a further framework for county governments in terms of revenue collection in their respective jurisdictions. Own source revenue has been a thorny issue in our counties. Most counties overstate their own source revenue, thereby resulting in pending bills at the end of the financial year. The amounts collected are not enough to cater for the projects that they had planned for in the course of the financial year. The other aspect of the matter ...
view
28 May 2024 in Senate:
revenue and ascertain how much has been collected at any given point by the respective county governments. The systems they have are normally charged on a percentage basis. In some instances, the amount that goes to the owner of the system is much more than what goes into the coffers of our county governments. At the end of the day, we still have projects that have not been completed because of lack of finances. The issues of the own-source revenue is the next frontier, which county governments should be encouraged to invest in. This will enable them to meet the ...
view
23 May 2024 in Senate:
Hoja ya nidhamu, Bw. Naibu Spika.
view