6 Aug 2019 in Senate:
Kamati inafaa kutoa Taarifa kuhusu:- The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
6 Aug 2019 in Senate:
(1) Hatua ya Mamlaka ya Kitaifa ya Bandari (KPA), Shirika la Kitaifa la Reli na Mamlaka ya Ukusanyaji Ushuru kuhamisha utoaji wa vibali yaani clearance certificates za mizigo kutoka Bandari ya Mombasa hadi sehemu nyingine za nchi na nchi jirani. (2) Iwapo Serikali imetathmini athari ya kuhamisha utoaji wa vibali hivyo vya kusafirisha mizigo hadi Nairobi kwa uchumi wa Kaunti ya Mombasa na kaunti jirani. (3) Kueleza ni mikakati gani iliyowekwa na Serikali kutoa ajira mbadala kwa watakaoathiriwa, hasa watakaopoteza ajira au namna ya kuvumbua riziki. (4) Kueleza iwapo sera ya soko huru katika biashara imetupiliwa mbali na hasa shinikizo ...

Asante Bi. Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii kuchangia Mswada huu wa ukumbi wa umaarufu yaani, County Hall of Fame Bill . Mswada huu umekuja wakati mwafaka ambao siku zilizopita tumepoteza watu kadhaa maarufu, wakiwemo Francis Kadenge ambaye alikuwa ni mchezaji mahiri wa mpira wa kandanda. Bi. Spika wa Muda, tumeona katika Serikali Kuu kuna sheria ambayo inaangazia maswala ya ukumbi wa umaarufu. Tumeona pia wakati wa sherehe za kitaifa, wengi hupewa tuzo za kitaifa kupitia sheria hiyo. Mswada huu utazipa nafasi serikali za kaunti kutoa tuzo kwa wale ambao wamebobea katika nyanja tofauti. Itakuwa ni jambo kubwa sana ...

Bi. Spika wa Muda, tumeona pia kwamba, katika uchaguzi wa wale ambao watapewa tuzo katika sherehe za kitaifa, kamati husika mara nyingi huangalia mambo kama michezo, utendakazi wa mtu katika ofisi na mengineyo. Haya yote yanachangia pakubwa katika kuchagua ni nani ataweza kupewa tuzo hii. Ninaona katika Mswada huu vigezo fulani ambavyo vimewekwa kuona kwamba wanaochaguliwa ni watu ambao wamebobea katika fani mbali mbali. Bi Spika wa Muda, swala langu kubwa ni kwamba ile kamati ya uchaguzi, yaani

ambayo imewekwa katika kifungu cha sita, wote ni wafanyikazi wa kaunti. Kwa hivyo, ni rahisi kwao kuhakikisha ya kwamba mawazo ya gavana yanatekelezwa kwa sababu wote ni wafanyakazi wa serikali za kaunti. Hivyo basi wote wana allegiance ya karibu kwa gavana. Kwa hivyo hawawezi kupinga maamuzi yake. Ningependekeza hapa ya kwamba kamati hiyo iwe na watu zaidi kutoka nje, yaani wakaazi wa kaunti ile ambao hawahusiani na serikali ya kaunti kwa jambo lolote la kikazi ama kibiashara. Hii itaipa kamati ile uhuru wa kufanya mambo wanayotaka bila kushurutishwa na sehemu yeyote. Ningependekeza pia kwamba kati ya wale ambao watakaa katika ...

imeondolewa, kwa sababu, sheria itakuwa inatoa mwongozo kamili kuhakikisha kwamba tuzo zile hazitolewi koholela na wanaopewa wanastahili. Asante, Bi. Spika wa Muda.
view