21 Mar 2019 in Senate:
Bi. Spika wa Muda, Bandari ya Mombasa ni kiungo muhimu katika uchumi wa kaunti za Pwani hususan Mombasa. Asilimia kubwa ya watu wa Pwani wanategemea Bandari ya Mombasa kwa njia moja au nyingine. Hivyo basi, mama mboga anatarajia mfanyikazi wa bandari kununua mboga zake jioni. Dereva wa lori anatarajia kubeba makasha kutoka Bandari ya Mombasa na wauzamaji barabarani pia wanapata biashara kutokana na bandari hiyo. Bi. Spika wa Muda, mchakato huu wote unaleta mapato kwa kaunti za Mombasa, Kwale, Kilifi, Taita Taveta, Kajiado, Makueni na Machakos. Iwapo biashara bandarini itapungua, mapato ya kaunti hizi yataathirika kwa sababu kaunti hizi zinategemea ...
view
21 Mar 2019 in Senate:
pekee yake, itolewe kwa biashara za watu kibinafsi ambao walikuwa wanaleta mizigo hiyo Nairobi na kwingineko bila kushurutishwa na Serikali. Hivi ninavyoongea, ni kwamba shirika la Bandari la Kenya Ports Authority (KPA) wametoa arifa kwa waleta mizigo aina ya sukari, mchele, ngano na vinginevyo, kwamba hawana
view
21 Mar 2019 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
21 Mar 2019 in Senate:
ruhusa ya kupeleka mizigo hiyo kwa zile CFS ambazo zilikuwa zimefunguliwa kupunguza msongamano katika Bandari ya Mombasa. Bi. Spika wa Muda, tuna changamoto nyingi Mombasa. Kuna changamoto za kiusalama, madawa ya kulevya, itikadi kali na ugaidi, uhalifu wa aina mbalimbali; na isipokuwa hatuna ufisadi wa hali ya juu kama vile wizi wa pesa za mabwawa, matatatizo mengi ni ya kijamii. Jiji la Mombasa linaendelea kufa polepole na iwapo hatua za haraka hazitachukuliwa, mji utakuwa gofu. Biashara ya utalii ilikufa zamani . Sasa utalii uliopo ni wakenya kutoka sehemu nyingine nchini kutembelea Mombasa. Hii Bandari ndio tegemeo kubwa. Mradi wa Dongo ...
view
21 Mar 2019 in Senate:
Bi. Spika wa Muda, naomba unilinde kutoka kwa Sen. Cheruiyot, Sen. Poghisio na dadangu, Sen. Halake.
view
21 Mar 2019 in Senate:
Thank you, Madam Temporary Speaker, for giving me this opportunity to contribute to this important Bill. I wish to associate myself with the sentiments made by my fellow Senators and support this Bill, which will go a long way in entrenching devolution in the counties. Majority of the projects are now at the whims of the governors and the County Executive Committee Members (CECs). Most of the projects are of high value and they sometimes run for two or three years and at the end of the day, there is no direct benefit on the members of the public. However, ...
view
21 Mar 2019 in Senate:
Madam Temporary Speaker, I have issues with Clause 5(3)(a), where it provides that:- “In determining the criteria for allocation under sub-section (2) (b), the county executive committee shall ensure that the allocation – (a) is not less than fifteen percent of the county government's allocation for development expenditure as provided under section 107(2)(b) of the Public Finance Management Act.” Madam Temporary Speaker, the 15 per cent is rather too little because already the governor or the executive has a say in the projects that are being done in counties. It is the same argument of the Senate that money that ...
view
21 Mar 2019 in Senate:
My other concern is the proposed Clause 18 on the power donated to the county governments or the county executive to make regulations. We shall have 47 regulations which may not be uniform. This is the same way we are trying to avoid each county to pass legislation on ward development. This power should have been donated to the Cabinet Secretary (CS) for the Ministry of Devolution and Arid and Semi-Arid Lands or the CS for the National Treasury so that there can be uniformity in those resolutions.
view
21 Mar 2019 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
21 Mar 2019 in Senate:
Madam Temporary Speaker, the important thing is that in many counties, most of the development is done at the behest of the governors. The public participation that is done is minimal and ineffective. This is because majority of it is done at a certain time when members of the public are unable to contribute effectively and are not aware of what is happening. For example, when Mombasa County was doing County Integrated Development Plan (CIDP) last month, members of the public were there to discuss the budget. However, the county government was discussing the issue of the County Fiscal Strategy ...
view