Mohamed Faki Mwinyihaji

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1821 to 1830 of 2095.

  • 6 Aug 2019 in Senate: imeondolewa, kwa sababu, sheria itakuwa inatoa mwongozo kamili kuhakikisha kwamba tuzo zile hazitolewi koholela na wanaopewa wanastahili. Asante, Bi. Spika wa Muda. view
  • 6 Aug 2019 in Senate: imeondolewa, kwa sababu, sheria itakuwa inatoa mwongozo kamili kuhakikisha kwamba tuzo zile hazitolewi koholela na wanaopewa wanastahili. Asante, Bi. Spika wa Muda. view
  • 1 Aug 2019 in Senate: Asante, Mhe. Spika, kwa kunipa fursa hii. Ninataka kuchangia maombi ya mhe. Khaniri ya kutaka maaskari wakongwe kuangaliwa. Tatizo la maaskari wakongwe halijaanza sasa. Lilianza na serikali ya ukoloni. Serikali ya ukoloni iliwachukua ndugu zetu wengi na ikawapeleka India, Burma na kwengineko kupigana vita. Waliporudishwa nyumbani walipewa pesa duni kama malipo ya uzeeni. Waafrika walilipwa tofauti na Wahindi na Wazungu, ilhali walipigana vitu pamoja. Tatizo hili halikuanza na Serikali hii. Lilianza na Serikali ya ukoloni. Serikali ya ukoloni haikudhamini maisha ya Waafrika. Askari wetu wa Kenya wako katika vita kule Somalia na wakimaliza kandarasi yao, wao hupewa malipo duni ambayo ... view
  • 1 Aug 2019 in Senate: Bw. Spika, utapata kwamba wengi wakilala usiku wanaota kuhusu vile vita ambavyo walikuwa wanapigana na mahasimu wao. Hii inawapatia matatizo ya kiafya na ugonjwa wa kiakili--- view
  • 1 Aug 2019 in Senate: Bw. Spika, dakika zangu zimechukuliwa na hawa waliokuwa wakiongea--- view
  • 25 Jul 2019 in Senate: Asante, Bw. Spika. Nimesimama hapa kuambatana na Kifungu 87 cha Kanuni za Bunge kinachohusu matumizi ya lugha bungeni. Lugha za matumizi katika Bunge la Seneti ni Kiingereza, Kiswahili na lugha ya Ishara. Order Paper, yaani karatasi hii kwa Kiswahili, ni chombo muhimu katika utaratibu wa maelezo ya yale ambayo yatatokea katika Bunge na hutolewa kila siku, masaa 12 kabla ya Bunge kukaa. Kwa hivyo, ni muhimu pia iandikwe kwa Lugha ya Kiswahili. Inapochapishwa kwa Lugha ya Kiswahili itawawezesha Wakenya wengi kufuatilia kwa ukaribu mazungumzo yanayoendelea hapa katika Bunge na pia kuwafahamisha yale ambayo yanajiri hapa. Bw. Spika, lugha ya Kiswahili ... view
  • 24 Jul 2019 in Senate: Asante, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kuchangia Hoja hii ya kupitiswa kwa Ripoti kuhusu FYs 2013/2014, 2014/2015 na 2015/2016. Ripoti hii imekuja wakati ambapo kuna mvutano baina ya Bunge la Seneti na Bunge la Kitaifa kuhusu pesa ngapi zinafaa kupelekwa katika serikali za kaunti. Kwa hivyo, hii ni fursa nzuri kwa Seneti kuangazia hatari za kimaadili katika kaunti zetu, ili kupendekeza njia tutakayotumia ili kuboresha utendakazi wa kaunti, na kuhakikisha kwamba wananchi wanapata faida. Bi. Spika wa Muda, Kamati ya Seneti kuhusu Uhasibu na Uwekezaji iliangalia ripoti 235 za serikali za kaunti. view
  • 24 Jul 2019 in Senate: Bi. Spika wa Muda, natoa hoja zangu, lakini Mwenyekiti wa Kamati hasikii kile ninachosema. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 24 Jul 2019 in Senate: Kwa hivyo, Mhe. Spika, Kamati ya Seneti Kuhusu Uhasibu na Uwekezaji imewahi kuchunguza ripoti 235 za serikali za kaunti, ripoti 141 za mabunge ya kaunti--- view
  • 24 Jul 2019 in Senate: Bi. Spika wa Muda, nilisema Mhe. Spika. Sikusema Bw. Spika wala view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus