27 Sep 2018 in Senate:
Ahsante, Mheshimiwa Spika, kwa kunipa fursa hii kuunga mkono Ombi ambalo limeletwa la kuwalipa ridhaa wale ambao wameathirika na bypass . Ni kweli kwamba serikali inazembea katika kulipa wale wanaoathirika na miradi ya maendeleo ya serikali. Tuko na mfano wa SGR kule Mombasa ambapo watu zaidi ya 76 hawajalipwa. Hii ni kuanzia kilomita zero hadi 20. NLC ililipa mashirika matatu Shilingi Bilioni tatu na nusu na wakaacha walalahoi karibu 70 bila malipo yoyote. Tuliuliza swali hili katika Bunge la Senate lakini halijashughulikiwa mpaka leo. Wananchi bado wanalalamika ya kwamba hawajalipwa pesa zao. Ni muhimu ya kwamba watu lazima walipwe na ...
view
27 Sep 2018 in Senate:
Asante, Bi Spika wa muda, kwa kunipa fursa ya kuchangia Hoja hii ya kuanzishwa kwa vyuo vya ufundi katika kaunti zetu. Ningependa kumpongeza Sen. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
26 Sep 2018 in Senate:
Asante, Bw. Naibu Spika, kwa kunipa fursa hii kuchangia Hoja hii ya kumpongeza Bw. Eliud Kipchoge kwa kuvunja rekodi ya ulimwengu ya marathon. Bw. Eliud Kipchoge alifanya jambo la ajabu katika wakati huu kwa sababu, licha ya majaribio kadhaa, alivunja rekodi tarehe 16 Septemba kwa zaidi ya dakika moja. Bw. Naibu Spika, jambo la kusikitisha ni kwamba katika nchi yetu ya Kenya wanamichezo wengi wanajitahidi kibinafsi. Hakuna mchango wowote unatolewa na Serikali Kuu ama hata serikali za kaunti kuhakikisha kwamba wanamichezo wale wanasaidika kwa njia mbali mbali. Kwa mfano, tukianza katika ukanda wa pwani, The electronic version of the Senate ...
view
26 Sep 2018 in Senate:
zamani ukanda wa pwani, yaani kaunti za Taita Taveta, Mombasa, Kwale, Kilifi, Lamu na Tana River hakuna uwanja wowote wanaweza kufanyiai mazoezi na kuendeleza michezo ya kimataifa. Aid mchezo wa kandanda, riadha, rugby, magongo ama chochote kile hakiwezi kufanyika kwa sababu hatuna uwanja ambao wanatumia kufanya mazoezi. Tunaelewa kuwa michezo na mambo ya vijana yamegatuliwa kwa serikali za kaunti. Hii ni fursa nzuri kwa serikali za ugatuzi kutenga kiwango fulani cha bajeti zao kwa ajili ya kuekeza katika viwanja vya michezo na mambo mengine ili kuinua michezo katika kila kaunti. Juzi, nilifurahi wakati tulipokuwa katika michezo ya KICOSCA kule Kisii ...
view
25 Sep 2018 in Senate:
On a point of order, Mr. Speaker, Sir.
view
25 Sep 2018 in Senate:
Thank you, Mr. Speaker, Sir. We should acknowledge the presence of Mr. Mandago who I understand is in the House.
view
25 Sep 2018 in Senate:
Thank you, Mr. Speaker, Sir.
view
13 Sep 2018 in Senate:
Bi. Spika wa Muda, asante kwa kunipa fursa hii kuchangia Statement ya Sen. (Rev.) Waqo. Ni jambo la kusikitisha kwamba baada ya miaka 57 tangu Kenya ipate Uhuru, bado kuna mauaji ya kiholela ambayo polisi wameshindwa kukomesha. Mauaji kama hayo yanaendelea na la kusikitisha ni kwamba wasio na hatia kama hayati Sharon na wengine wanakumbana na vifo katika hali za kutatanisha lakini Serikali na polisi wameshindwa kutatua. Hiyo si mara ya kwanza mauaji ya kiholela kufanyika kwa sababu tumeshuhudia mauaji mengi katika nchi ya Kenya. Juzi, mwanamume mmoja kule Kayole alidaiwa kusukumwa na kuanguka lakini kifo chake bado hakijachunguzwa. Jukumu ...
view
12 Sep 2018 in Senate:
Madam Temporary Speaker, on the issue raised by The Senate Majority Leader. It is actually a concern to the CPAIC Committee on the delay in the disposal of these reports. As you are ware, every county has an average of four reports which need to be considered and submitted to the full House. One of the strategies that we have employed is to seek submission from the governors on the reports of the Auditor-General in so far as the executive branch is concerned. Based on the submissions made, unless there will be any queries, then we should be able to ...
view
12 Sep 2018 in Senate:
On a point of order, Madam Temporary Speaker.
view