24 Oct 2018 in Senate:
Madam Temporary Speaker, thank you for giving me this opportunity to contribute to this important Bill. I join my colleagues in congratulating Sen. Olekina for this timely Bill. Speaking on behalf of Mombasa County, we have had these kinds of streets and pavements for many years. At the moment, all the pavements are being redone and carpeted with artificial carpets. Nkrumah Road and Moi Avenue are all green courtesy of the 79th International Association of Travel and Tourism Professionals (SKAL) World Congress which was held in Mombasa. The pavements have also been done in red. If you walk along Digo ...
view
18 Oct 2018 in Senate:
Asante, Bi. Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii ili kuchangia Mswada huu wa kuimarisha sheria zinazoangalia maswala ya bodaboda.
view
18 Oct 2018 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
18 Oct 2018 in Senate:
Bi. Spika wa Muda, ijapokuwa bodaboda zimeweza kurahisisha usafiri katika maeneo mengi nchini, kuna athari nyingi ambazo zimechibuka kutokana na biashara hii. Kwa mfano, wengi wanaoendesha bodaboda, hawana vibali rasmi vya Serikali vya kuwaruhusu kufnaya hivyo. Wengi wanaendesha bodaboda, bila ya kupata mafunzo yoyote ya uendeshaji wa boda boda hapa nchini. Vilevile, wengi wanaendesha bodaboda bila ya kuvaa vikinga kama vile kofia na reflector ambayo inaonyesha kwamba wao ni waendeshaji wa bodaboda. Bi. Spika wa Muda, katika hospitali nyingi, kumetengwa wodi maalum za kutibu wahasiriwa na majeruhi wa boda boda. Wengi wa wahasiriwa hao wamevunjika mikono, miguu na vichwa kubondeka. ...
view
17 Oct 2018 in Senate:
Asante, Bi. Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii kuchangia Mswada wa kutoa mwongozo wa kutoa malalamiko katika mabaraza ya kaunti zetu. Mswada huu umekuja katika wakati mwafaka kwa sababu tunaona kwamba Bunge za Kaunti zinaendelea kukua na kutatua matatizo ya wananchi katika Jamhuri ya Kenya. Kwa hivyo tukitoa mwongozo wa kupeleka malalamiko katika Bunge hizi, itawapa wananchi fursa ya kuweza kupeleka malalamiko yao bila ya kuwa na matatizo ya pesa ama ya kisheria ambayo mwananchi anaweza kushindwa kuyatatua kabla ya kufikisha malalamiko yale katika sehemu ambayo yanatakikana kutatuliwa. Mswada huu utaboresha uwezo wa mabaraza ya kaunti kuweza kutatua matatizo ...
view
17 Oct 2018 in Senate:
Japokuwa tunasema kwamba muongozo uwe rahisi, tukiangalia kifungu namba 3(k), kinasema kwamba ile sahihi ya mwenye kuleta malalamiko isiwe imebandikwa. Kwa hakika, hilo ni jambo ambalo litapinga hilo swala ambalo linasema kwamba muongozo uwe rahisi. Katika kifungu namba 3(l), mwenye kuleta malalamiko haruhusiwi kuweka barua, viapo ama stakabadhi zingine kwenye hiyo Petition . Hii pia itatatiza wananchi. Wananchi wanafaa kuruhusiwa kuweka stakabadhi zozote ambazo wanaona kwamba zitasaidia kurahisisha kueleweka kwa malalamiko yao na pia kutatuliwa kwa malalamiko yao kwa sababu wanaleta malalamiko na dukuduku yao katika bunge la kaunti. Lazima hiki kifungu namba (l) kiweze kubadilishwa ili mwananchi aambatanishe stakabadhi ...
view
16 Oct 2018 in Senate:
Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir, for giving me this opportunity to welcome my classmate and Senator for Migori County, Sen. Ochillo-Ayacko. We met as undergraduate students at the University of Nairobi in 1987 together with Sen. Kabaka, the Senator for Machakos County. I am happy that our numbers are growing in this august House. I look forward to work with him in his new position as the Senator for Migori County.
view
16 Oct 2018 in Senate:
Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kuunga mkono mapendekezo ya marekebisho ya sheria ya terrorism ambayo imebuniwa na Sen. (Rev.) Waqo. Bw. Spika wa Muda, ugaidi umekuwa janga katika nchi yetu ya Kenya kwa muda mrefu kutoka miaka ya 1980 tulipopata tukio la kwanza la ugaidi wakati hoteli ya Norfolk iliposhambuliwa na magaidi. Baadaye, tukapata hasara kubwa wakati Ubalozi wa Marekani ulipopigwa tena na magaidi, Kikambala na kwengineko ambako kumetokea visa vya uhalifu wa kigaidi. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from ...
view
16 Oct 2018 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, cha kusikitisha kabisa ni wakati magaidi waliposhambulia Chuo Kikuu cha Garissa ambako wanafunzi wengi walipoteza maisha yao bila ya hatia yoyote. Kwa hivyo, ugaidi umekuwa ni janga la Taifa na umesababishwa zaidi na mafunzo ya itikadi kali ambayo yanafanywa na wale wanaoongoza vikundi vya kigaidi ambavyo vimeingia katika jamii yetu, na imekuwa vigumu kwa asasi za kitaifa kama vile polisi wahaohusika na anti-terrorism kuwatambua watu kama hawa na kuwatoa, ili vijana wetu wasiweze kujiunga na vikundi hivi vya itikadi kali za kidini. Bw. Spika wa Muda, nikizungumzia sehemu ya Mombasa na pwani kwa jumla, vijana wengi ...
view