Mohamed Faki Mwinyihaji

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1941 to 1950 of 2095.

  • 21 Mar 2019 in Senate: Madam Temporary Speaker, the important thing is that in many counties, most of the development is done at the behest of the governors. The public participation that is done is minimal and ineffective. This is because majority of it is done at a certain time when members of the public are unable to contribute effectively and are not aware of what is happening. For example, when Mombasa County was doing County Integrated Development Plan (CIDP) last month, members of the public were there to discuss the budget. However, the county government was discussing the issue of the County Fiscal Strategy ... view
  • 20 Mar 2019 in Senate: Asante Bw. Spika kwa kunipa fursa hii kuchangia Taarifa ya Sen. (Dr.) Langat kuhusiana na kifo cha--- view
  • 20 Mar 2019 in Senate: Bw. Spika, the Senate Majority Leader lazima aongoze kwa mfano. Yeye akiwa wa kwanza ku-consult kwa sauti inakuwa ni matatizo kwetu sisi wengine. Tulimskiza tukiwa kimya. Bw. Spika, marehemu Dkt. Ali Juma Hamisi alikuwa ni daktari katika zahanati ya Likoni mjini Mombasa akiwa ameajiriwa na Kaunti ya Mombasa, mpaka alipoenda Cuba mnamo tarehe 24 mwezi wa tisa mwaka uliopita. Madaktari wale waliuliza mambo matatu kabla ya kusafiri. Walitaka kujua ni c ourse gani walikuwa wanaenda kusomea. Pili walitaka kujua watakapoishi na tatu, marupurupu yao yatakuwa namna gani. Mambo hayo hayakujibiwa mpaka juzi tarehe nne wakati Wizara ilipeleka barua kusema kwamba ... view
  • 20 Mar 2019 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 20 Mar 2019 in Senate: Asante, Bw. Spika. view
  • 19 Mar 2019 in Senate: Asante, Bw. Naibu Spika, kwa kunipa fursa hii ya kuwakaribisha wanafunzi kutoka Kaunti ya Makueni. Hii ni fursa nzuri ya wanafunzi kama hawa kututembelea na kuona vile wawakilishi wao wanavyofanya kazi, hasa mwakilishi wao, Sen. Mutula Kilonzo Jnr. Twawatakia kila la kheri katika muda ambao watakuwa hapa. Wakirudi nyumbani, wa-aspire for bigger things. view
  • 19 Mar 2019 in Senate: Samahani, Bw. Naibu Spika; namaanisha kwamba wakirudi nyumbani waangalie juu. view
  • 19 Mar 2019 in Senate: Bw. Naibu Spika, kulenga na kuangalia, hayo yote ni mamoja. view
  • 19 Mar 2019 in Senate: Asante Bi. Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii kuchangia Hoja ya Seneta wa Kaunti ya Bungoma, Sen. Wetangula. Bi. Spika wa Muda ningependa kutilia mkazo kwa yale yote yaliyozungumziwa hapa. Hakuna linguine ambalo linaloweza kuongezewa bora kuliko kusema kwamba, ni lazima sasa hatua za kinidhamu zichukuliwe. Haya yaliyotendeka yote, watu kufa kwa njaa na kuishi katika hali ya uchochole katika sehemu nyingi kama Baringo, Kilifi, Tana River, Kwale na Kinango; kuna uchochole kama huu unaoendelea katika eneo la Turkana. Kwa hivyo sasa inapaswa hatua za kinidhamu zichukuliwe, watu washtakiwe na wachukuliwe hatua wafungwe, ili iwe ni funzo kwa watu ... view
  • 19 Mar 2019 in Senate: Kwa hivyo, licha ya Serikali kupeleka chakula sasa, ni lazima wale wanaohusika - -- view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus