Mohamed Faki Mwinyihaji

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1991 to 1994 of 1994.

  • 21 Feb 2018 in Senate: Asante, Bw. Spika. Nilitaka kudandia Motion ya Sen. (Dr.) Musuruve. view
  • 14 Feb 2018 in Senate: Asante sana, Bw. Spika. Ningechangia Mswada huu kama ifuatavyo. Neno harambee ni Kiswahili sanifu. “Halambee” si sawa na “harambee”. Harambee huamanisha kuvuta pamoja. Wale ambao ni wanafunzi wa Kiswahili mkiangalia kamusi za mwanzo kabisa utaona kana neno lililoko ni halambee sio harambee. Harambee ilikuja The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate view
  • 14 Feb 2018 in Senate: Ahsante Mhe. Nderitu. Kwa hakika hiyo si shida ya maharaja kwa sababu ni shida ambayo ilijitokeza na watu wakakubali kwamba badala ya kutumia neno “halambe” tulitumie neno “harambe” kwa sababu linakubalika zaidi kwa watu kuliko halambe ambayo ilikuwa inakubalika kwa jamii ya waswahili peke yake. Kwa hivyo, hapo sina ugomvi wowote na Mhe. Nderitu. Bw. Spika, kwa wakati tulio nao sasa na shughuli za Bunge hili la sasa, kama walivyotangulia wenzangu kusema, itakuwa ni kuharibu wakati tukijadili maswala kama haya. Harambe iliyotumika hapa ni ya Kenya na si ya India. Tunajua harambe ya India ni tofauti na ya Kenya. Hivyo ... view
  • 28 Sep 2017 in Senate: Ahsante, Mhe. Spika wa Muda, kwa fursa hii ya Kuchangia Hoja hii ya kuchaguliwa kwa Kamati hii maalum ya Seneti kujadili mabadiliko ya sheria za uchaguzi. Mwanzo, ningependa kumkosoa mzungumzaji aliyetangulia kusema kuwa maandamano sio public participation . Kwa hakika, hio ndio mojawapo ya mbinu wanazotumia wananchi katika public participation kupima mambo yao. Nikirejea kwa Hoja iliyopendekezwa, Hoja hii inaturudisha nyuma zaidi ya miaka ishirini kutoka tulipoanza mchakato wa vyama vingi nchini Kenya. Mwaka wa 1988, view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus