9 Aug 2023 in Senate:
Bw. Naibu Spika, Nampongeza dada yetu Sen. Okenyuri kwa kuzungumzia swala hili la utalii. Utalii ni moja ya zile---
view
9 Aug 2023 in Senate:
Hapa Seneti najulikana kama Sen. Mwinyihaji Faki Mohammed. Khatib ni jina la uwakili. Madam Temporary Speaker, I thank you for giving me this opportunity to comment on the two Statements. The first one is the Statement by Sen. Kavindu Muthama on the Ad Hoc Committee on compensation of the bomb blast victims. I commend Sen. Kavindu Muthama and her Committee for the splendid work they have done in the one month they have been in existence. The work they have done is commendable. I hope that by the end of their term, the victims of the bomb blast will have ...
view
9 Aug 2023 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate.
view
9 Aug 2023 in Senate:
It is not fair for the United States of America (USA) to compensate some victims of the bomb blast and leave out others. Those who were affected did not want to suffer. People died and others were injured. Some suffered because America was the primary target. Therefore, it is inhumane and unfair for America to choose to compensate their citizens and leave out Kenyans still clamouring for compensation 25 years later. As it has been said by Sen. Cherarkey, America has been compensated by Sudan and Libya after it was established that the suspected masterminds of the bombings came from ...
view
8 Aug 2023 in Senate:
Asante, Mhe. Spika. Nimesimama kwa mujibu wa Kanuni ya Kudumu 53(1) za Seneti kuomba taarifa kutoka kwa Kamati ya Kudumu ya Barabara, Uchukuzi na Makao, kuhusu barabara zinazomilikiwa na mamlaka ya Kenya UrbanRoads Authority (KURA) katika Kaunti ya Mombasa. Katika taarifa hiyo, Kamati iangazie yafuatayo- (1) Iarifu Seneti ni barabara ngapi shirika la KURA limeweza kurekebisha kutoka mwaka wa 2018 hadi 2023 katika Kaunti ya Mombasa, ikiorodhesha majina ya barabara hizo kikamilifu; (2) Ichunguze matumizi ya fedha zilizotengwa kwa urekebishaji wa barabara hizo, ikizingatiwa kwamba baadhi ya barabara zilizo chini ya mamlaka ya KURA hazija rekebishwa kikamilifu; na, (3) Ieleze ...
view
8 Aug 2023 in Senate:
On a point of order, Mr. Temporary Speaker, Sir.
view
8 Aug 2023 in Senate:
Mr. Temporary Speaker, Sir, I do not wish to interrupt my junior, Sen. Cherarkey. However, he said that he has been represented in courts of note in this country. Is the Resident Magistrate Court in Kapsabet a court of note or a court of record?
view
8 Aug 2023 in Senate:
Asante Bw. Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii kuchangia Mswada wa marekebisho wa Sheria ya Fedha ya 2023. Kwanza ningependa kusema ya kwamba naunga mkono marekebisho haya lakini ningependa kufanywe mabadiliko katika
view
8 Aug 2023 in Senate:
marekebisho ambayo yamependekezwa katika mswada huu. Kwanza kabisa, vyombo vya habari vimeripoti kwamba Dollar ya Marekani inabadilishwa kwa Kshs150 ya pesa za Kenya.
view
8 Aug 2023 in Senate:
Kusema kweli, hili ni jambo la kusikitisha kwa sababu, ina maana kwamba sarafu yetu inapungua dhamani ikilinganishwa na Dollar ya Marekani ambayo ndio sarafu inayotumika kimataifa. Baadhi ya mambo ambayo yamesababisha kupungua kwa nguvu ya sarafu yetu ni baadhi ya sera za Serikali hii ambayo tuko nayo. Serikali ilipoingia mamlakani, Dollar ilikuwa inabadilishwa kwa Kshs100; Kshs110 au Kshs120. Lakini sasa tumeona kwamba imeongezeka wa asilimia karibu thelathini katika muda mchache kabla ya mwaka mmoja kuisha. Hii inamaanisha kwamba hii Serikali lazima iketi chini iangalie ni vitu gani wanavyofanya ambavyo hawastahili kufanya.
view