18 Apr 2023 in Senate:
Asante, Bwana Spika, kwa kunielekeza. Nilileta Kauli hapa katika Seneti kuhusu kukatwa kwa nguvu za umeme katika Hospitali kuu ya Pwani yani Coast General and Referral Hospital . Niliomba Taarifa ile ninafikiri mwanzo wa mwezi wa tatu na hadi leo sijapata ripoti yoyote kuhusu mikakati ambayo Kamati imefanya ili kuchunguza na kuupata ukweli kuhusu kusisitshwa huduma katika hospitali kuu. Ni muhimu kwa sababu nguvu za umeme zinahitajika katika hospitali hususan katika vile vitengo vya wagonjwa mahututi, watoto waliozaliwa kabla ya umri wao na sehemu zingine zinazohitaji nguvu za umeme. Ningependa Mwenyekiti wa Kamati, atoe shauku kuwa hakuweka Kauli ile chini ...
view
13 Apr 2023 in Senate:
On a point of order, Mr. Speaker, Sir.
view
13 Apr 2023 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, the Vice Chairperson of the Committee on Finance and Budget, Sen. Tabitha Keroche, tabled the Committee’s Report yesterday. Procedurally, we should be debating the Bill together with the Committee’s report, so
view
13 Apr 2023 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
13 Apr 2023 in Senate:
that by the conclusion of debate, we will be in a position to vote on the amendments that will be proposed.
view
13 Apr 2023 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, asante kwa kunipa fursa hii, kuchangia Muswada wa ugawaji wa fedha baina ya Serikali kuu na Serikali za ugatuzi. Bw. Spika wa Muda, kwanza kabisa, napinga Mswada huu kama ulivyoletwa katika Bunge hii. Mswada huu unasema kwamba, pesa ambazo zitatoka katika Serikali kuu na kuja kwa serikali za kaunti ni shilingi 385.425 bilioni. Ukiangilia hii shilingi 370 bilioni ni zile zilizotolewa mwaka wa 2022/2023. Kwa hivyo, hakuna chochote ambacho kimeongezeka, isipokuwa shilingi 15 bilioni, ambazo wamesema ni mapato waliyoyafanyia marekebisho. Bw. Spika wa Muda, ukiangalia swala la mlipuko wa bei za bidhaa, kwa mfano, mafuta; mwaka ...
view
12 Apr 2023 in Senate:
On a point of order, Mr. Speaker, Sir.
view
12 Apr 2023 in Senate:
I want to comment on the Statement.
view
12 Apr 2023 in Senate:
Thank you, Mr. Speaker, Sir.
view
12 Apr 2023 in Senate:
Asante, Mhe. Spika, kwa kunipa fursa hii kutoa maoni yangu juu ya ripoti zilizowasilishwa na kamati mbili muhimu; Kamati ya Ardhi na Kamati ya Leba . Kuhusiana na Kamati ya Leba, ni ukweli, maendeleo ambayo yamefanyika ni mazuri kwa Kamati na Bunge letu la Seneti. Lakini ni masikitiko kwamba imechukua muda kidogo kuweza kukamilisha ile ripoti inayohusiana na shida wanazopitia wafanyikazi wetu ambao wako katika nchi za Uarabuni, hususan Saudi Arabia na nchi zingine za Ghuba. Safari ilifanywa mwezi wa Januari tarehe 7 na kufikia sasa ni karibu miezi mitatu imepita na hatujaweza kukamilisha ripoti hiyo. Kuna mambo mengi ambayo ...
view