Mohamed Faki Mwinyihaji

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 631 to 640 of 2123.

  • 27 Jun 2023 in Senate: Bw. Spika, nasimama kwa mujibu wa Kanuni za Kudumu Nambari 53(1) kuomba kauli kutoka kwa Kamati ya Kudumu ya Usalama wa Taifa, Ulinzi na Uhusiano wa Kimataifa kuhusu polisi kutumia nguvu za kimabavu dhidi ya wanahabari wakati wa maandamano yaliyoandaliwa na Muungano wa Azimio tarehe 30 Machi, 2023. Katika taarifa hiyo, Kamati iangazie yafuatayo: view
  • 27 Jun 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate. view
  • 27 Jun 2023 in Senate: (a) iarifu Seneti sababu ya polisi kutumia nguvu za kimabavu kuwatawanya wanahabari waliokuwa wakirekodi maandamano ya Muungano wa Azimio katika Mtaa wa Pipeline, Kaunti ya Nairobi; view
  • 27 Jun 2023 in Senate: (b) Ieleze hatua zilizochukuliwa na Shirika la Independent Policing Oversight Authority (IPOA) dhidi ya maafisa wa polisi hao waliowakabili wanahabari kimabavu na kuwajeruhi baadhi ya wanahabari hao pamoja na kutaja hatua za kudumu za kuhakikisha hakutakuwa na marudio ya tukio kama hilo siku zijazo; view
  • 27 Jun 2023 in Senate: (c) ieleze hatua zitakazochukuliwa dhidi ya polisi Corporal Cyrus Korir Kemboi kutoka Kituo cha Polisi cha Pangani aliyerekodiwa akiwarushia wanahabari waliokuwa katika gari vilipuzi viwili vya kutoa machozi na kumjeruhi mwanahabari Eric Isinta usoni na kifuani; na view
  • 27 Jun 2023 in Senate: (d) iarifu Seneti mikakati iliyobuniwa na Serikali kuhakikisha wanahabari wanaweza kufanya kazi zao kwa uhuru kuambatana na sheria bila kusumbuliwa na polisi view
  • 27 Jun 2023 in Senate: Asante, Bw. Spika. view
  • 27 Jun 2023 in Senate: Mr. Speaker Sir, I rise pursuant to Standing Order No.52(1) to make a Statement on an issue of general topical concern and national importance namely the commemoration of the United Nations International Day Against Drug Abuse and Illicit Trafficking. view
  • 27 Jun 2023 in Senate: This global observance takes place annually on the 26th of June. The theme for this year is People First. Stop the Stigma and Discrimination. Strengthen Prevention. The purpose of this day is to raise awareness about the significant problems posed by illicit drugs in our society. view
  • 27 Jun 2023 in Senate: The drug menace in Mombasa and the other coastal counties of Kwale, Kilifi and Lamu has tragically transformed vibrant youths into addicts and criminals burdening not only themselves but our society as a whole. According to the UNODC 2019 Report on Drugs and Crime, there are 27,014 drug users in the three coastal counties of Mombasa, Kilifi and Kwale, exceeding the national average by more than 50 per cent. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus