Mohamed Faki Mwinyihaji

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 781 to 790 of 2123.

  • 19 Jan 2023 in Senate: Asante, Sen. Veronica Maina. Pia, karibu na haircut mpya mwaka huu. Bw. Mwenyekiti wa Muda, jopo ambalo limependekezwa litaweza kufanya kazi hii kwa njia nzuri zaidi kuliko lile ambalo lilikuwa limpendekezwa mwanzo katika Mswada ambao ulipita katika Bunge la Kitaifa. view
  • 19 Jan 2023 in Senate: Hoja ya nidhamu, Bw. Mwenyekiti wa Muda. view
  • 19 Jan 2023 in Senate: Bw. Mwenyekiti wa Muda, ningependa kumkumbusha Sen. Mundigi ya kwamba hatujafikia wakati wa kupiga kura. Tunajadili mapendekezo ya mabadiliko yaliyopendekezwa na Sen. Mumma. Pili, hakuna majina yaliyopendekezwa. view
  • 30 Dec 2022 in Senate: Asante Bw. Naibu Spika kwa kunipa fursa hii kumpongeza Seneta mteule, Sen. Wafula. Kwanza, ameweza kuregeshea hadhi chama cha Ford Kenya ambacho ni chama cha kutoka mwanzo katika vyama ambavyo vilipigania vyama vingi nchini Kenya. view

  • 30 Dec 2022 in Senate: Mimi pia nilikuwa mwanachama wa chama cha Ford Kenya awali katika safari yangu ya siasa. Karibu katika Seneti. Tunatarajia mchango wako utasaidia pakubwa Bunge hili Pamoja na watu wa Kaunti ya Bungoma. Katika kura ambayo ulishiriki, kulikuwa na vyama vingi ambavyo viliweza kukupinga. Nafikiri kitu ambacho kilitushangaza ni kuwa wale wengine wanaokupongeza hivi sasa wako katika vile vyama ambavyo vilikuwa mstari wa mbele wakiponda chama chako na kukuponda wewe binafsi kama mgombea wa kiti cha Seneti katika Kaunti ya Bungoma. Hawakumpa heshima Spika wa Bunge la Kitaifa sasa, ambaye ni kiongozi wa chama cha Ford Kenya; kuwa pale ni nyumbani ... view

  • 30 Dec 2022 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view

  • 30 Dec 2022 in Senate: Bw. Spika, hiyo ni siasa. Ningependa nikiyazungumza mambo haya, Sen. (Dr.) Khalwale awe hapa kwa kuwa alijipiga kifua sana kwamba anachukua kiti cha Kaunti ya Bungoma. Lakini, nafikiri ‘alilamba lolo’ na tutayaachia hapo kwa sasa. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus