14 Jun 2022 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
14 Jun 2022 in Senate:
Bi. Spika wa Muda, haya maswala mengine ni ya uchumi wa ulimwengu. Kwa mfano, tatizo la ongezeko la bei za chakula. Hili tatizo haliadhiri Kenya peke yake. Linaadhiri nchi zote ulimwenguni. Tatizo la ongezeko la bei ya mafuta haliadhiri Kenya peke yake. Linaadhiri nchi zote hususan zile nchi ambazo zinandelea.
view
14 Jun 2022 in Senate:
Haya ni maswala ambayo yanatakikana yaangaliwe kwa mtazamo wa uchumi wa ulimwengu. Katika majadiliano yetu na wizara ya fedha, walikubali kwamba maswala haya yataangaliwa na kutakua mkutano hivi karibuni Morocco ambapo swala hili la uchumi wa ulimwengu na uongezekaji wa bei za bidhaa utajadiliwa.
view
14 Jun 2022 in Senate:
Bi. Spika wa Muda, ningependa kukubaliana na Sen. Olekina kwamba swala lolote ambalo litaadhiri uchumi, mazingara ama binadamu katika jumuiya ya Afrika Mashariki ni swala ambalo linaadhiri nchi zote za Afrika Mashariki. Tunaomba Rais wetu aingilie swala hili na aangalie yale mambo ambayo yanafanyika Loliondo. Hivi karibuni, Loliondo ilisifika kwa dawa ya Babu aliyekua kasisi na alikua akitibu watu na chai yake aliyokua akichemsha. Watu wengi walikua wakienda Loliondo kwa swala hili. Sasa tunaambiwa ya kwamba Loliondo kumeingia maswala ya kuhamishwa kwa Wamaasai. Tunajua Wamaasai wako Kenya na Tanzania. Nafikiri wako pia Uganda. Ni jamii moja hatuwezi kuifungia macho wakati ...
view
14 Jun 2022 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
14 Jun 2022 in Senate:
miradi mpaka wajilipe deni zao. Ya Serikali itakuwa tu kuhakikisha zile pesa zinatumika vizuri na pia kudhibiti pesa ambazo mwekezaji atajilipa. Serikali sasa haitakuwa na mamlaka ya kutoa huduma kwa barabara kubwa kama hizo. Hili litakuwa jukumu la wawekezaji. Mpango huu utasaidia pakubwa kuufufua uchumi wetu. Hatimaye, pesa ambazo zingewekezwa katika miradi kama hii, zitawekezwa katika sekta mbalimbali za huduma kwa wananchi, ili tupate maendeleo haraka. Bi. Spika wa Muda, kejeli zimetolewa hapa kwamba Serikali ya “handshake” ndio imesababisha mambo haya. Mambo haya yalikuwepo kutoka awamu ya kwanza ya Serikali hii iliyoko. Baada ya Rais Kenyatta na Mhesh. Raila Odinga ...
view
14 Jun 2022 in Senate:
Madam Temporary Speaker, I beg to report that the Committee of the Whole has considered the Community Groups Registration Bill, (National Assembly Bills No.20 of 2021) and seeks leave to sit again tomorrow. I ask Sen. Poghisio to second.
view
14 Jun 2022 in Senate:
Madam Temporary Speaker, I second.
view
14 Jun 2022 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
14 Jun 2022 in Senate:
Madam Temporary Speaker, I beg to report that the Committee of the Whole has considered the Landlord and Tenant Bill (National Assembly Bills No.3 of 2021) and seeks leave to sit again tomorrow.
view