Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 331 to 340 of 424.

  • 25 May 2023 in Senate: . Kwa shule, wanaitwa mahuluku-taabu. Bi. Spika wa Muda, asante kwa kunipa nafasi ya kuchangia Mswada huu. view
  • 25 May 2023 in Senate: On a point of order Madam Temporary Speaker. view
  • 25 May 2023 in Senate: Bi. Spika wa Muda, kwa mujibu ya Kanuni za Kudumu za Seneti 41, ningependa kukujulisha kwamba hakuna Maseneta wa kutosha kuendeleza shughuli za Seneti. view
  • 24 May 2023 in Senate: Asante sana, Bw. Naibu Spika. Sio kila siku tunakuwa na Waziri wa Kawi katika Bunge la Seneti. Pia ninaelewa kwamba ninafaa kuuliza swali lingine kutokana na swali asili ambalo Sen. Lomenen aliuliza. Hata hivyo, umuhimu wa sabuni ni povu. Kama Seneta wa Kaunti ya Kirinyaga, kuna masuala ambayo ninafaa kusema. Hata kama sio maswali, mambo hayo yatamwezesha Waziri wa Kawi kwenda na taarifa. Bw. Naibu Spika, ninaomba uniruhusu niseme jambo moja. Nitakuwa sifai kama sitamwambia Waziri kuwa, kuna watu kutoka Kaunti ya Kirinyaga, sehemu ya Gathigiriri, ambao wamekaa miezi mitatu bila stima. Sitakuwa na maana katika Bunge hili, iwapo sitasema ... view
  • 24 May 2023 in Senate: Bw. Naibu Spika, nikimalizia nilikuwa niko na swali kuhusu Kaunti ya Turkana. view
  • 24 May 2023 in Senate: Bw. Naibu Spika, kutokana na swali la Sen. Lomenen, Kaunti ya Turkana inajulikana kwa rasilimali ya mafuta. Wakati wa kuchimba mafuta, miradi ya Corporate Social Responsibility (CSR) ilitakiwa kufanywa. Kwa vile mafuta yalichimbwa huko Turkana hayakuwa na faida, ni jambo gani ambalo litafanyiwa wakaazi wa Kaunti ya Turkana ili waridhike kwamba wamefaidika kwa kujitolea kwao na kupeana nafasi ya mafuta kuchimbwa? view
  • 24 May 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 24 May 2023 in Senate: Asante, Bw. Naibu Spika. Ninangoja nafasi nyingine ya kuuliza maswali ambayo hayahusiki na maswali ya Sen. Lomenen. view
  • 3 May 2023 in Senate: Bw. CS, you have clearly said that you have already sorted a case that has been there since independence. I also ask whether there are any plans to issue title deeds to Kirinyaga County residents living in the following areas; the colonial villages in Kirinyaga County, South Ngariama Ranch, Mwea rice fields which residents have been living in since time immemorial without title deeds. Bw. Cs, there are no disagreements or clashes in this area. So, please, can you tell us whether there are such plans and what are the timelines? view
  • 13 Apr 2023 in Senate: Asante Bw. Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii. Kwanza, ninaunga mkono Mswada huu wa ugavi wa mapato. Kwanza, nitajadili suala la maabara. Ningetaka kumkosoa Seneta wa Tana River, Sen. Mungatana, na kumwambia kuwa si kaunti za kaskazini peke yake ambazo hazina maabara. Katika zile kaunti hazina maabara, ya kwanza ni Kirinyaga, Busia, Homa Bay, Kajiado, Lamu, Machakos, Nyamira, Samburu, Tana River, Tharaka Nithi, Trans Nzoia, Turkana, Vihiga na West Pokot. Kaunti ambazo zimenyanyaswa na kuachwa nyuma kwa muda mrefu pia zinapewa nafasi katika hii Hazina ya Usawazishaji yaani, Equalisation Fund. Wale ambao hawana maabara ndio wangekuwa wanapewa zile fedha ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus