25 Oct 2006 in National Assembly:
Bw. Spika, tume ya kuwaajiri walimu ambayo ni ya wasomi na wataalamu, inaweza kuenda katika Wilaya ya Taita-Taveta na kutoa ripoti ya ukweli? Je, Waziri Msaidizi atakubali tuende na yeye katika Wilaya ya Taita-Taveta wiki ijayo ili akajionee vile ripoti ya kupotosha ilitolewa na tume ya kuwaajiri walimu? Anafaa kukubali tuende mara moja ikiwa anataka kuwatendea haki walimu wa Taita-Taveta.
view
18 Oct 2006 in National Assembly:
On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir. Is it in order for Ministers to make promises in this House which they cannot keep? Last year, I was promised that Ngilinyi Dam will be allocated money and the project will be implemented. However, nothing has been done so far. What happens when Ministers promise something and nothing happens?
view
18 Oct 2006 in National Assembly:
Mr. Deputy Speaker, Sir, I am referring to the Minister for Water and Irrigation, whether it is from his---
view
18 Oct 2006 in National Assembly:
Yes, Mr. Deputy Speaker!
view
18 Oct 2006 in National Assembly:
Yes, Mr. Deputy Speaker, Sir.
view
17 Oct 2006 in National Assembly:
alimuuliza Waziri wa Elimu ni lini walimu wa Wundanyi na Taveta wataanza kulipwa marupurupu ya kufanya kazi katika mazingira magumu kama wenzao wa Voi na Mwatate.
view
17 Oct 2006 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika, Swali hili litaahirishwa ili tafsiri ya sawa sawa kwa Swali langu lifanyike na ili haki itendeke kwa walimu wa Wundanyi.
view
2 Aug 2006 in National Assembly:
Ahsante sana, Bw. Spika. Vitendo vya vyombo vya usalama kutoka nje, haswa kutoka Marekani na Israel kuwateka nyara, kuwakamata, kuwahoji na kuwatesa Wakenya, haswa watu wa pwani, ni swala nyeti na linaendelea kila wakati. Hata wengine wanapelekwa nje ya nchi hii! Je, Serikali hii inaweza kuwahakikishia Wakenya usalama kutoka kwa vyombo vya ujasusi kutoka nchi za nje?
view
26 Jul 2006 in National Assembly:
Asante, Bw. Naibu Spika. Ili tuwe na---
view
26 Jul 2006 in National Assembly:
Asante, Bw. Naibu Spika. Ili kupata mifugo iliyopotea na kuhakikisha kwamba kuna haki, lazima kuwe na alama ya kuhakikisha kwamba mifugo iliyopatikana ni ile ambayo kweli, ilikuwa imeibiwa. Je, Waziri Msaidizi alitumia ujuzi upi kuhakikisha kwamba mifugo iliyopatikana na kurudishiwa watu ni ile iliyokuwa imeibiwa, na wala si ya watu ambao hawakuhusika?
view