Mwandawiro JD Mghanga

Born

November 1959

Post

22812-00400 Nairobi

Telephone

0722316588

All parliamentary appearances

Entries 161 to 169 of 169.

  • 19 Apr 2006 in National Assembly: On a point of order Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir. Is it in order to refer to a whole community as if it is all involved in criminal activities? Are all Pokots involved April 19, 2006 PARLIAMENTARY DEBATES 595 in criminal activities? view
  • 5 Apr 2006 in National Assembly: Bw. Spika, kila kunapokuwa na kupeleka huduma, inakuwa ni huduma kupelekwa kutoka Mombasa hadi kwingine, kama Nairobi, lakini hatuoni huduma zikiletwa kutoka Nairobi kwenda Mombasa. Je, Waziri Msaidizi anafahamu kwamba kuondoa hizo huduma za forodha kunapunguza kazi kwa vijana kule Mombasa? view
  • 5 Apr 2006 in National Assembly: Jambo la nidhamu, Bw. Spika. Huyu ndugu yangu hakujibu swali langu vile nilivyomuuliza. Sijui ni matatizo ya lugha au nini. Nimemuliza kama anafahamu kwamba hicho kitendo cha kuhamisha huduma kinapunguza ajira kwa vijana kule Mombasa? view
  • 4 Apr 2006 in National Assembly: Mr. Deputy Speaker, Sir, could the Assistant Minister tell the House which particular police formation is occupying the property of Mr. Maina Njenga at Kitengela and for what reasons? view
  • 29 Mar 2006 in National Assembly: Jambo la nidhamu, Bw. Naibu Spika. Nafikiri hili ni jambo muhimu sana, ambalo tunafaa kujua kuhusu Pwani. Katika Mkoa wa Pwani, kuna maskuota wengi. Je, Waziri Msaidizi anasema kwamba tunafaa kwenda katika sehemu zetu za uwakilishi Bungeni na kuwaambia watu kwamba wakienda katika Ofisi za Wizara ya Ardhi watapata sehemu za ardhi? Na ni lini watakapozipata? view
  • 28 Mar 2006 in National Assembly: Jambo la nidhamu, Bw. Spika. Waziri anaelewa ukweli halisi. Hata kule Taita Taveta, askari wa wanyama pori wanawagandamiza wananchi, na Waziri amesikia malalamishi yao. Ni uchunguzi gani utakaofanywa? Serikali zinaanguka hivyo kwa kukataa kuwasikiliza wananchi. view
  • 22 Mar 2006 in National Assembly: Bw. Spika, umemsikia mhe. Obwocha akisema kwamba chama cha FORD(P) kinapatikana katika pande mbili humu Bungeni; kiko upande wa Upinzani na upande wa Serikali. Huo ni ukweli. Suluhu ambayo mimi napendekeza ni kwamba hizo nafasi zipatiwe wale Wabunge wa FORD(P) ambao wako upande wa Upinzani. view
  • 22 Mar 2006 in National Assembly: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. view
  • 22 Mar 2006 in National Assembly: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. When NDP moved from the Opposition to the Government, they moved as a whole. But some members of FORD(P) are still in the Opposition. That is the difference! view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus