Naomi Shaban

Parties & Coalitions

Full name

Naomi Namsi Shaban

Born

9th September 1963

Post

P.O. Box 73855 - 00200 Nairobi

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

namsi-ns@yahoo.com

Telephone

0722814412

Telephone

0202215245

All parliamentary appearances

Entries 121 to 130 of 1513.

  • 24 Apr 2019 in National Assembly: Kwa hivyo, ni lazima sisi wote tumuunga mkono, tumwombee afya nzuri na vile vile pia tumwombee hata Naibu wake afya nzuri, ili wote waweze kufanya kazi na kutekeleza majukumu walioambia Wakenya. Mhe. Naibu Spika wa Muda, naunga mkono Hotuba hii na wale wote ambao wanasimama kidete kuweza kuhakikisha kuwa Wakenya wataweza kupata maendeleo kulingana na vile Mhe. Rais alivyoitakia Serikali yake. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 24 Apr 2019 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii. view
  • 27 Mar 2019 in National Assembly: I agree with the Chair of the Departmental Committee on Lands that it is like having another executive sitting beyond the executive chaired by the governor. So, it is unnecessary. I agree with this amendment. view
  • 27 Mar 2019 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika wa Muda ningeomba tu kutaja ya kwamba tusije tukawa kama pwagu na pwaguzi, ambapo ndugu akifanya hili wewe unafanya lingine ili kuonyesha kuwa sisi si watu wa moja. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 27 Mar 2019 in National Assembly: Bunge la Kenya kazi yake ni kutengeneza sheria. Hivyo basi, huu upwagu na upwaguzi ni lazima uwachwe ili tuweze kusongeza mambo mbele. Masuala ya ardhi haswa hapa nchini ni maswala yenye kuchukuliwa na kuleta hisia mbalimabli, na hisia hizo zimewafanya watu wengi Wakenya kuumizana kwa sababu ya masuala haya. Kwa hivyo, kwenye mipangilio ya ardhi zetu, hatutaki utani. Asante sana. view
  • 13 Mar 2019 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Speaker, I just wanted to intervene under Standing Order No. 95. Considering that the Leader of the Minority Party is view
  • 13 Mar 2019 in National Assembly: The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 13 Mar 2019 in National Assembly: becoming repetitive on issues that have already been canvassed, can the Mover be called upon to reply after the Leader of the Minority Party is done? view
  • 27 Feb 2019 in National Assembly: Ni nyingine, Mhe. Naibu wa Spika. view
  • 26 Feb 2019 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Spika kwa kunipatia nafasi hii ili nizungumzie taarifa hii kutoka Kamati ya kusimamia Pesa za Hazina Maalum hapa nchini. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus