All parliamentary appearances
Entries 131 to 140 of 1513.
-
26 Feb 2019 in National Assembly:
Kama kuna jambo ambalo Bunge la 12 limeweza kufanya ni kuwa na kamati hii ambayo inaangalia matumizi ya fedha zilizomo kwenye Hazina Maalum humu nchini. Kazi ya Hazina ya Pesa ya Maeneo Bunge ilianza miaka kadhaa iliyopita. Wakati wa Bunge la Tisa tulipata kima cha Ksh6 milioni. Tangu wakati huo hadi sasa tumerekebisha sheria mpaka sasa inaambatana na Katiba ambayo ilianza kutumika mwaka wa 2010, mwezi wa nane. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
-
26 Feb 2019 in National Assembly:
Pesa za hazina hii zinatumika kimaendeleo. Tulipoaanza kuzitumia, maeneo mengi hayakuwa na shule, maabara na zahanati za kusaidia wananchi. Pesa hizi zimewaezesha wengi kuona maendeleo mashinani. Zimewawezesha wananchi kusomesha watoto wao.
view
-
26 Feb 2019 in National Assembly:
Nampongeza mwenyekiti kwa kazi nzuri ambayo amefanya kwenye Taarifa hii. Tangu hazina hiyo ianzishwe, kamati iliyowekwa na Bunge la 12 ni muhimu. Lakini juu ya hapo, ningetaka kutoa taarifa kwamba kuna umuhimu wa Serikali kuu kutengeneza jinsi hazina hiyo itaweza kuangalia maeneo yote ya Bunge hapa nchini. Kama unavyofahamu, maeneo ni 290 na sio rahisi kwa kila mtu kwenda kila mahali wakati wowote. Pesa za ugatuzi zingelifuata namna pesa hizi za hazina za maeneo Bunge zinavyotumika, bila shaka tungeona faida yake. Pesa za ugatuzi zimekuwa zikifujwa na huu ulikuwa mfano wa kugatua pesa kutoka Serikali kuu kushuka nchini lakini sasa ...
view
-
13 Feb 2019 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker, for giving me this opportunity to also add my voice to this Public Finance Management (PFM) The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
-
13 Feb 2019 in National Assembly:
(Amendment) Bill No. 51 of 2017. Devolution was enacted with a bang and very quickly. This PFM Act was also enacted very quickly because we needed to operationalise the Constitution. There were too many loopholes which were created in the process. This was not done intentionally but because of the hurry we were in to put everything in place.
view
-
13 Feb 2019 in National Assembly:
I do not want to overlook certain issues which are very important. This PFM (Amendment) Bill is very important in the sense that it has come at a time when we have learnt lessons. The Executive arm of Government, especially the National Treasury, has come up with this amendment Bill, so that some of these loopholes can be closed. It is not easy to close all of them in one go but what they have mentioned touches on the core of the major problems that we have. The importance of the controls that are being put in place to control ...
view
-
13 Feb 2019 in National Assembly:
Our Parliamentary Budget Office has been added more responsibility. In other words, they can demand information at the time when they require it. That enhances the parliamentary oversight mandate. The main mandate of overseeing counties is executed by the Senate. This Bill will go a long way in assisting the Budget Office to get information and then release it, so that Members of Parliament from the Senate can do their work.
view
-
13 Feb 2019 in National Assembly:
The other point that is of importance is the fact that overdrafts are drawn left, right and centre by the county governments. The declaration of these overdrafts by the county governments is important, so that the Budget Controller can be aware of what is going on at the county level, so that they can close in the loopholes which are created like the unnecessary overdrafts. You also need to look at the fact that in future, revenue collection must be looked at very seriously with a specific eye on looking at means and ways of improving accountability of money collected ...
view
-
13 Feb 2019 in National Assembly:
Hon. Temporary Deputy Speaker, with those few remarks, I beg to support.
view
-
13 Nov 2018 in National Assembly:
Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Ningependa nami kuzungumzia suala hili la mabadiliko katika sheria zetu na wingi wa uwepo wa sheria hizi. Nawaunga mkono wenzangu waliotangulia hapo mbeleni kusema kuwa kama tunazungumzia masuala ya mabadiliko yoyote, tunahitaji mabadiliko haya yasiwe zaidi ya sheria tano ambazo ziko hapa nchini. Hii ni kwa sababu ikiwa sheria zimejazwa tele kitabu kizima, basi Wabunge hawana nafasi na fursa ya kuweza kuangalia sheria hizi vile inavyotakikana. Mwisho Wakenya wenyewe wanakimbilia kortini kwenda kupinga mabadaliko ambayo sisi tumeyatekeleza. Ukweli ni kwamba suala linalozungumziwa hasa la kucheza michezo ya bahati nasibu na michezo ya kamari ...
view