Naomi Shaban

Parties & Coalitions

Full name

Naomi Namsi Shaban

Born

9th September 1963

Post

P.O. Box 73855 - 00200 Nairobi

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

namsi-ns@yahoo.com

Telephone

0722814412

Telephone

0202215245

All parliamentary appearances

Entries 861 to 870 of 1513.

  • 29 Oct 2014 in National Assembly: biashara. Sisi ambao tunatoka kwenye mpaka, tumeona matatizo mengi kwa muda mrefu kwasababu ya tofauti za hela ambazo tunazitumia. Vile vile kwa sababu ya tofauti za kibinafsi kwa sababu wananchi tofauti wamechukua muda kukubali kuwa Afrika Mashariki imeamua kusonga mbele tukiwa kitu kimoja. Ripoti yenyewe imeonyesha wazi kuwa hata sisi kama Wakenya itatubidi kugeuza Kipengele cha 231 cha Katiba ili tuweze kuwezesha Benki Kuu ambayo itasimamia Afrika Mashariki kuweza kuchukua majukumu yale ambayo yamekuwa yakisimamiwa na Benki Kuu ya hapa nchini na hata zile za nchi zingine, itawabidi waangalie sheria ili kuwezesha kufanikisha jambo hili. Serufi ambayo itatumika itatuwezesha kuwa ... view
  • 28 Oct 2014 in National Assembly: seconded. view
  • 28 Oct 2014 in National Assembly: Hon view
  • 28 Oct 2014 in National Assembly: Asante sana Bwana Mwenyekiti wa Muda. Nataka kumuunga mkono Mwenyekiti wa Kamati hii ya Maswala ya Mazingira na Uchimbaji Madini hapa nchini. Kwa sisi ambao tunatoka Taita Taveta, tunajua kuwa watu wamepelekwa kortini na wengi wameteswa. Hata wale ambao wanafanya shughuli kwenye mashamba yao, wameteseka kwa sababu wale matajiri wamewasumbua. Hii itarekebisha na itatoa tiba kwa tatizo hili. view
  • 28 Oct 2014 in National Assembly: seconded. view
  • 28 Oct 2014 in National Assembly: seconded. view
  • 28 Oct 2014 in National Assembly: The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 23 Oct 2014 in National Assembly: Hon. Speaker, I beg to lay the following Papers on the Table of the House:- The Financial Report of the Audit Office of the Auditor General, Kenya National Audit Office for the period of 1st July, 2011 to 30th June, 2012. The Transition Authority progress Report for the month of August, 2014. The Transition Authority progress Report for the month of September, 2014. The Report of the Auditor-General on the Financial Statements of Maasai Mara University for the year ended 30th June, 2013 and the certificate of the Auditor-General therein. The Report of the Auditor-General on the Financial Statements of ... view
  • 23 Oct 2014 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Spika. Mwenzangu Mbunge wa Gatundu Kusini ametatizika sana kwa sababu ya hali ya usalama hapa nchini na umuhimu wa kuwa na maafisa wa usalama kwenda kwenye mafunzo ili waweze kufanya kazi kama vile Serikali ya Jubilee ilivyoahidi. Ijapokuwa ni hivyo na haswa sisi wenye kutoka maeneo ya mpakani, tunapendelea sana kuwa maafisa hawa waende mafunzoni haraka iwezekanavyo ili waje wafanye kazi ya kuwalinda Wakenya haswa wakati huu ambapo tumekuwa na matatizo mengi hapa Kenya. Kulingana na kanuni za Bunge hili, Mbunge huyu wa Gatundu The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A ... view
  • 23 Oct 2014 in National Assembly: Kusini ambaye bado ni mgeni, hajaelewa sana kanuni zinavyosema na kwa hivyo ni vizuri Wabunge wenzangu wamuelewe. Sisi sote tunaumwa na roho kuwa maafisa hawa hawajaenda bado kwenye mafunzo hayo lakini vile vile, ni muhimu tukumbuke kwamba ni lazima tugawanyane majukumu, mahakama wafanye kazi yao na sisi Wabunge pia tufanye kazi yetu. Kitu ningeomba ni mahakama iharakishe ili wale waliochaguliwa kwenda kwenye mafunzo waweze kwenda haraka iwezekanavyo. Vile vile, Mhe. Spika, wewe kama Spika wetu umekuwa ukiheshimu kanuni za Bunge na sheria za nchi hii kwa hivyo hakuna sababu ya mtu yeyote kusimama, kukulenga na kukurushia maneno ambayo si ya ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus