Naomi Shaban

Parties & Coalitions

Full name

Naomi Namsi Shaban

Born

9th September 1963

Post

P.O. Box 73855 - 00200 Nairobi

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

namsi-ns@yahoo.com

Telephone

0722814412

Telephone

0202215245

All parliamentary appearances

Entries 841 to 850 of 1513.

  • 11 Dec 2014 in National Assembly: Ahsante sana, Mhe. Spika kwa kunipatia fursa hii kuunga mkono wenzangu na kuzungumzia suala hili la kuelekea likizoni. Mwaka huu ulikuwa mgumu sana kwa sababu Wakenya wengi sana wameuawa bila sababu; ni kama ilikuwa kitubio. Lakini Mwenyezi Mungu ametujalia kufika wakati huu ambapo mwisho wa mwaka uko karibu. Tunaomba kwamba mwaka ujao utakuwa mwaka wa amani na wa mafanikio kwa Wakenya wote. Sisi viongozi ambao tunajua matatizo Wakenya wanapitia, hatutaki kuona tena Wakenya wakiumizwa ama wakiuawa. Nawaomba viongozi wenzangu kwamba tukienda katika likizo hii, tuzungumzie kuhusu amani na haswa kuhusu maendeleo wakati huu tunapoelekea manyumbani. Nawatakia Wakenya wote Krisimasi njema ... view
  • 10 Dec 2014 in National Assembly: Thank you, hon. Speaker. I stand up to second the Procedural Motion on the reduction of the publication period for the Public Audit Bill and Public Procurement and Asset Disposal Bill. It is actually in our own interest to make sure that when we come back from our recess, we will be able to continue from where we will have left. It is important for us to make sure that these Bills come for the First Reading before we go for recess. These Bills should be fast-tracked because they are the kind of Bills which should have been dealt with ... view
  • 9 Dec 2014 in National Assembly: Thank you, hon. Temporary Deputy Speaker. I stand to reply after listening to what most Members have said on the issue of our international obligation. Having passed a new Constitution in 2010, as you pointed out, Article 2 of The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 9 Dec 2014 in National Assembly: our new Constitution is actually very clear that we should take our international obligations very seriously. view
  • 9 Dec 2014 in National Assembly: I want to thank the team which put this Report together for coming up with this very important document. Most of the times some people have to be reminded what we are signatory to and what we have agreed to do with other states and the United Nations (UN). Most conventions, agreements and issues that have been looked at are cross- cutting, and our country holds them very dearly. In fact, Kenya is very respected at the UN level, because most of African regions like the east and central Africa, and even the southern and northern Africa, have been listening ... view
  • 9 Dec 2014 in National Assembly: Having said that, I just want to congratulate everybody who has contributed to this very important Report. The international community ought to also do its bit in the sense that we do not want some protocols to be used against us; we are cooperating in most issues that we are signatory to. view
  • 9 Dec 2014 in National Assembly: I beg to move. view
  • 19 Nov 2014 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Spika. Nami pia nataka kutoa risala zangu za rambirambi kwa jamii ya Senator Otieno Kajwang’, seneta wa Homa Bay, kwa jamii yake pamoja na watu wote wa Homa Bay na Wakenya kwa ujumla. Risala zangu za rambirambi si zangu tu bali ni za eneo Bunge la Taveta na watu wake, ambao pia wanamfahamu Senator Otieno Kajwang’. Alipokuwa Waziri wa maswala ya uamiaji, alikuja mpaka kwetu Taveta mara kadhaa ili kutuwezesha kuwa na ofisi iliyofaa pale mpakani. Senator Kajwang’ alikuwa ni mtu wa kupenda utani. Ijapokuwa alikuwa anapenda utani, alikuwa ni mtu aliyechukulia kazi yake kwa bidii sana. ... view
  • 18 Nov 2014 in National Assembly: Asante sana, Naibu Spika wa Muda. Haiwi haiwi, leo imefika. Baada ya muda mrefu, huyu Daktari Lydia Nzomo, ambaye ndiye alikuwa anafaa kupatiwa kazi hii tangu Bunge la Kumi, sasa hivi, wakati umefika. Imesemekana kuwa akisema atakubariki, hakuna atakayezuia. Wakati ni sasa. Daktari Lydia Nzomo angekuwa amefanya kazi nyingi sana. view
  • 18 Nov 2014 in National Assembly: Ukiangalia, watu wengi walikuwa wamenyemelea nafasi hii. Wangeipata na Lydia Nzomo angebaki bila kazi hii ambayo amehitimu kufanya na ambayo ni muhimu sana. Tuko na hakika kuwa anaweza kuitekeleza kwa haraka na pia kuhakikisha kuwa walimu na wanafunzi wamepata haki yao. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus