All parliamentary appearances
Entries 851 to 860 of 1513.
-
18 Nov 2014 in National Assembly:
Tume ya Walimu si tume ya mchezo. Wahenga walisema kuwa bahati ya mwenzio usilalie mlango wazi. Daktari Lydia Nzomo, akipatiwa kazi hii, ataitekeleza. Ukiangalia historia yake, amefanya kazi kubwa sana kwenye Tume hii ya Walimu. Baada ya huu muda wote, akipatiwa kazi hii, ataitekeleza vilivyo.
view
-
18 Nov 2014 in National Assembly:
Lydia Nzomo anaelewa matatizo ya walimu. Amekuwa mwalimu na anaelewa shughuli za Tume ya Walimu. Alifikia kuwa Naibu wa Katibu Mkuu wa Tume ya Walimu. Kwa hivyo, tunamtakia kila la heri atakapokwenda kuitekeleza kazi hii.
view
-
18 Nov 2014 in National Assembly:
Naunga mkono Daktari Lydia Nzomo aanze kazi haraka iwezekanavyo.
view
-
13 Nov 2014 in National Assembly:
Thank you very much, hon. Temporary Deputy Chairman. I wish to stand up and agree with the recommendations of His Excellency the President on the issue of hiring and firing; more so the firing of the Secretary of the EACC. What His Excellency the President was trying to do here is just that--- In appointing the Secretary, a recommendation is usually sent here for us to approve. But His Excellency the President wants to remove the politics in it in terms of firing. The Commission, which is a constitutional commission, is actually mandated to hire and fire but at the ...
view
-
13 Nov 2014 in National Assembly:
I beg to support.
view
-
13 Nov 2014 in National Assembly:
Thank you, hon. Temporary Deputy Speaker. I stand to second this Bill; the Persons Deprived of Liberty Bill. This has been long overdue. The past Government of President Kibaki had actually put in place a policy of reforms in prisons and a policy of reforms in the police sector. This Bill goes an extra mile, and will put in place better mechanisms. Since the reforms in prisons, we have seen people sit examinations. We have seen people study and pass examinations. We have seen people getting grade “A” when they are in prisons. We have seen people---
view
-
13 Nov 2014 in National Assembly:
Hon. Temporary Deputy Speaker, we have seen people advance their education even when they are in prison. We have seen people showing their talents when they are in prison. We have seen beauty contests when people are in prison. This is what is required to make sure that all the reforms which were started are going to The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
-
13 Nov 2014 in National Assembly:
be a reality, and that any time we have a change of Government, it will be in law and nobody is going to change the reforms which have been put in place. The Leader of Majority Party has gone through it and explained why we need this law and it should have been in place yesterday. We have seen women with children in prison. We have seen women with infants in prisons. We have seen women getting infants. They go there when they are pregnant and they deliver babies when they are in prison, but they are not treated well ...
view
-
30 Oct 2014 in National Assembly:
seconded.
view
-
29 Oct 2014 in National Assembly:
Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Mimi pia nataka kuunga mkono Hoja hii na haswa kuwapongeza Mhe. Kajuju na timu yake kwa kazi nzuri ambayo wamefanya kwa kutuletea Ripoti hii ambayo imeonyesha kwa uwazi kuwa kuna umuhimu wa sisi kama Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAM) kuweza kuendelea na kuhakikisha kuwa uhusiano wetu umezidi kuleta manufaa kwa wananchi wa JAM. Mhe. Naibu Spika wa Muda, Afrika Mashariki ilianza kitambo, miaka ile ya mwanzo wakati tulikuwa na JAM. Sifa nyingi inakwenda sana kwenye Jumuiya ya Nchi za Ulaya ambayo ilikuja kuchukua mfano Afrika Mashariki na kuweza kwenda kutengeneza jumuiya yao. Wao ...
view