11 Nov 2014 in National Assembly:
Thank you, hon. Temporary Deputy Speaker. I would like to pass my appreciation to my brother, hon. Alfred Keter for bringing this Motion to the House. If there is anything that has probably received more reason for adjournment in this House, then they are issues to do with security and insecurity in general in this country. This in itself should be a wake-up call to the Government on how serious this House takes these matters. In as much as we know that we have the bad elements amongst us, there is no society where there is no bad element. My ...
view
11 Nov 2014 in National Assembly:
said this as well, that the rate at which we are currently moving with mass arrests and swoop the only thing that this House will need to pass is budgets to build more prisons and cells. This House is going to be judged. We are going to be judged whether we were architects of positive change or whether we were architects of decay. This House is going to be judged because some of us have raised these issues in this very House. I have raised issues severally regarding people who have gone missing and those who have been killed mysteriously. ...
view
7 Aug 2014 in National Assembly:
Ahsante Mhe. Spika. Nimeshukuru kwa jawabu lililotoka kutoka kwa Mwenyekiti wa Ardhi. Lakini niko na maoni kwa baadhi ya majibu. Jibu la kwanza (b). Serikali ibadilishe vyeti vya wale watu walio kodisha Arthi kwa muda murefu na hawaitumii na haswaa katika maeneo ya makaazi. Jawabu la pili, serikali iharakishe utoaji wa vyeti vya umiliki unaoendelea pwani. Jibu la tatu, serikali imetoa hakikisho ya kuto furusha watu kwenye ardhi ya serikali. Pia imetoa hakikisho ya kwamba wako mbioni kubuni sheria na mwongozo wa ufurushaji na utatuzi wa mizozo kama hiyo. Je, ni lini muongozo huu utakua tayari?
view
3 Jun 2014 in National Assembly:
Kulingana na mujibu wa Kanuni za Bunge, Kifungu 44(2)(c), ningependa kuuliza taarifa kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi kuhusu tatizo la ardhi na utozi wa makazi kwa maskwata nchini, hususan maeneo ya Pwani. Tatizo la ardhi na maskwata ni tatizo sugu nchini. Idadi ya maskwata katika maeneo ya Pwani inaongezeka kila uchao na Serikali ya Kitaifa haijapanga mikakati ya kutatua tatizo hili. Ningependa kuomba kwamba Mwenyekiti wa hii Kamati afanye uchunguzi abainishe na kisha aripoti yafuatayo:-
view
3 Jun 2014 in National Assembly:
(i) sababu zinazofanya Serikali kuchukua muda mrefu kutafuta suluhisho la kudumu kwa tatizo hili la maskwata;
view
3 Jun 2014 in National Assembly:
(ii) ni lini maskwata watatambuliwa na kupewa hati za kumiliki mashamba wanayomiliki; na The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
3 Jun 2014 in National Assembly:
(iii) ni mikakati gani imewekwa na Serikali kuzuia kufukuzwa kwa maskwata hao mpaka kupatikane suluhisho la kudumu.
view
3 Jun 2014 in National Assembly:
Wiki mbili ni sawa lakini bora taarifa iwe sahihi kwa sababu Wakenya wanaendelea kuwa waombaji wakivunjiwa majumba kila wakati.
view
26 Mar 2014 in National Assembly:
Bi Naibu Mwenyekiti wa Muda, nasimama kupinga haya mabadiliko. Ikiwa tumewanyima magavana ambao wamechaguliwa na wananchi kwa kura, hatuwezi kumpatia mtu ambaye ameteuliwa. Kwa hivyo, napinga.
view
26 Mar 2014 in National Assembly:
Bi Naibu Mwenyekiti wa Muda, nasimama kupinga haya mabadiliko. Ikiwa tumewanyima magavana ambao wamechaguliwa na wananchi kwa kura, hatuwezi kumpatia mtu ambaye ameteuliwa. Kwa hivyo, napinga.
view