Rashid Juma Bedzimba

Parties & Coalitions

Email

bedzimbar@yahoo.com

Telephone

0720679612

Telephone

0733679612

All parliamentary appearances

Entries 51 to 62 of 62.

  • 12 Feb 2014 in National Assembly: Ahsante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda. Nasimama kuunga mkono Mswada huu kwa sababu haya mazungumzo tunayoyazungumza hapa, tunayazungumza kwa sababu wa usalama wa kitaifa. Usalama wa kitaifa ni jambo la muhimu sana. Na ule ukosefu wa usalama unaonekana taifa nzima, ni kwa sababu hakuna sehemu maalum ya kutoa amri. Ikiwa tutaweza kutoa nguvu ama tutapeleka nguvu kwa ofisi moja, itakua ni rahisi kwetu sisi,kuweza kuelekeza kidole kwa ofisi moja na kuwaambia: “Wewe ndio umekosea. Tueleze ni kwa nini usalama unazorota.” Lakini hivi sasa, imekua ni vigumu kwa sababu, ofisi ya Inspekta- Generali haina nguvu zile ambazo inatakikana kuwa nazo. ... view
  • 24 Oct 2013 in National Assembly: Bwana Spika, nimeshukuru kwa majibu yaliyotoka kwa kamati ya ardhi. Ni majibu yanayotia moyo ingawa yamechelewa sana lakini chelewa ufike. Kitu ambacho nitaomba ni kwamba hiyo taarifa ambayo kamati ya ardhi imeifanyia utafiti ipelekwe kwenye kamati ya utekelezaji ili iweze kumsukuma Waziri wa Ardhi ndiposa alete mswada huo kwa haraka na kwa wakati unaofaa ili tuwaokoe mamia ya wananchi wanaokaa kwa hofu kwenye ardhi ya mababu na baba zao. Naomba taarifa hiyo ipelekwe kwenye kamati ya utekelezaji. view
  • 24 Oct 2013 in National Assembly: Hon. Speaker, I am happy with that response. view
  • 4 Jul 2013 in National Assembly: Thank you, hon. Speaker, for giving me this opportunity to request for a Statement. Pursuant to Standing Order No.44(2)(c), I wish to request for a Statement from the Chairperson of the Departmental Committee on Lands regarding the rampant cases of squatters eviction especially in Kisauni Constituency and in the larger coastal area and the country in general. In April, 2013, the National Land Commission directed that no eviction of squatters or the landless occupying public or any other parcel of land shall take place until the Commission develops guidelines and the necessary laws for eviction. I, therefore, wish to request ... view
  • 4 Jul 2013 in National Assembly: Yes, hon. Speaker. view
  • 4 Jul 2013 in National Assembly: Hon. Speaker, I need to have a timeframe within which I will get the answer. This is very serious because the evictions are going on and we need the view
  • 4 Jul 2013 in National Assembly: Agreed, hon. Speaker. view
  • 15 May 2013 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika wa Muda, ningeomba hii iwe kama mazungumzo yangu ya kwanza katika Bunge. Nilisimama tu kuunga mkono Hoja nilipopata nafasi. Nashukuru Mwenyezi Mungu amekuwezesha kuniona. Nimekuwa nikisimama nikikaa hapa tangu nije. Nikianza na Hoja hii, ninaunga mkono vilivyo kwa sababu wazee si watu wa kutupwa. Wazee wamefanyia mengi taifa hili ambalo linahitaji kuangaliwa kwa uangalifu zaidi. Wazee wa miaka 60 na zaidi, wengi wao hawana ajira. Wengi wao wamestaafu na wengine hawajawahi kuajiriwa kabisa kwa sababu ya kujitegemea wenyewe kwa kazi zao za kibinafsi. Wazee hao wamekuwa mizigo kwa vijana wetu. Imekuwa wazee wanawategemea vijana na ilhali hali ... view

  • 15 May 2013 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika wa Muda, wale wazee ambao wako pale, ni miaka miwili sasa; wanakufa mmoja mmoja na sasa wanaona kwamba wanaanza kulaumu Serikali na kuilaani na ndio sababu tunapata mambo mengi na maafa. Ningeomba wazee wetu waangaliwe ili tuzuie laana kwa taifa letu. Kuhusu usalama wa kitaifa, uko katika majaribio. Mavamizi katika sehemu za magharibi; magengi katika sehemu za Mandera na sehemu nyingi za taifa, hata sehemu za Pwani imekuwa shida kubwa. Kila siku kuna vikundi vipya vimejiunda na wanakula view

  • 8 May 2013 in National Assembly: Asante sana, Bi Naibu Spika wa Muda. Kwa majina ninaitwa hon. Rashid Juma Bedzimba, Mbunge wa Kisauni. Nimesimama kuunga mkono Mjadala huu kwa sababu wazee wengi wenye umri wa miaka sitini na zaidi hawana ajira. Wengi wao huwategemea vijana wao ambao pia wengi wao hawana ajira. Hii imefanya hata sasa view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus