3 Oct 2018 in National Assembly:
Kitu kingine ambacho kinachangia zaidi pia ni kutegemeana. Kuna ukosefu wa ajira. Wale ambao wana kazi wanategemewa na familia…
view
3 Oct 2018 in National Assembly:
Ahsante, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Kutegemeana kwa lugha ya kimombo ni high dependency ratio ambayo ni asimila 75 katika Kenya. Idadi ndogo ya wale watu ambao wameajiriwa inawabidi wasaidie wale wengine ambao hawana kazi. Mhe. Naibu Spika wa Muda, naomba uniongezee muda kwa sababu dakika zangu zimechukuliwa.
view
3 Oct 2018 in National Assembly:
Hoja hii itawapatia vijana imani na matumaini. Tutawasaidia hao vijana wawe tofauti katika miaka ijayo.
view
3 Oct 2018 in National Assembly:
We arranged that Hon. (Dr.) Ochanda was to second and not me.
view
3 Oct 2018 in National Assembly:
Asante, Bw. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia hii nafasi. Ninataka kusisitiza zaidi kuhusu ujirani. Ukiwa na jirani mwema na mkiwa na mawasiliano mazuri, mnakaa vizuri hata wewe mwenyewe huwa unapata utulivu wa moyo. Ninahimiza sana huu ujirani na ushirikiano. Kusema kweli, tumetoka mbali kama jumuiya ya Africa Mashariki. Hapa tulipofika, wengi watakubaliana na mimi kwamba kulikuwa na matatizo mengi na tulianza pahali na saa hii tumefika pahali pazuri. Kuna mambo mazuri yanayopatikana upande wa usalama kwa sababu vile tunashirikiana kibiashara na tunafaidi. Ninataka kuhakikishia Bunge hili kwamba sisi Wakenya kwa ukarimu wetu, kama vile ulivyosema Bw. Spika, wewe ukiwa ...
view
31 Jul 2018 in National Assembly:
Ahsante, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii kuchangia. Ninaheshimu sana walimu kwa sababu wao ni kioo katika jamii. Tukiwa shuleni huwa tunaigiza walimu. Nimeshangazwa sana na mwalimu huyu. Sijui ni mfano gani anaonyesha wanafunzi. Najua Kenya tuna Wakristo na Waislamu wanaopendana. Haya mambo ambayo yametukia hayamo humu nchini. Huyu ni mwalimu na hilo kosa alilofanya ni yeye mwenyewe anafaa kuchukuliwa hatua za kisheria. Ikiwa kuna mwingine anachezea na kukosea heshima Biblia, naye pia achukuliwe hatua za kisheria. Hapa ametuudhi. Mimi naona hivi: Wanaiga mambo wanayoona katika mitandao. Huu ni ukoloni mamboleo. Mambo haya huku kwetu Afrika hayako. ...
view
25 Jul 2018 in National Assembly:
Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi name nichangie Hoja hii inaopendekeza kuwekwa kwa kamera katika shule za upili. Naona kuweka kamera hizo ni jambo la muhimu sana. Zitasaidia sana kuzuia uhalifu tofauti tofauti katika shule.Itasaidia kaunti pia. Kwa mfano, itasaidia Lamu katika wadi ya Basuba. Najua hata wakiniona nachangia mambo ya kamera, wanashangaa sana. Wadi ya Basuba haina hata shule moja ya upili. Mtu akizungumzia mambo ya kamera, nashangaa sana kwa sababu kule Basuba hatuna hata walimu katika shule za msingi. Shule tano zimefungwa. Wanafunzi wanaenda kusoma huko Hindiwood. Nasisitiza kuwa kamati ya elimu iliangalie suala ...
view
25 Jul 2018 in National Assembly:
Sitaki kuchaingia zaidi. Nangojea Mswada wa Korosho. Naona wakati umeisha. Twende kwa Mswada mwingine. Ahsante, Mhe. Naibu Spika wa Muda.
view
25 Jul 2018 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. Captain is the title; I am a pilot by profession. I rise to second this Motion. Cashew nut is grown majorly in Lamu, Kilifi, Kwale, with Vumbe and Sadan in Lamu East producing the best quality cashew nut in the country. I take this opportunity to congratulate these farmers who I represent. Even with this great quality, these farmers face immense challenges such as brokers who pay them low prices, hampering the growth of the sector. Kenya produces 10,000 metric tonnes valued at Kshs264 million, with Lamu County producing 8,000 metric tonnes, representing 80 ...
view
25 Jul 2018 in National Assembly:
If a comprehensive plan to revive the farming of cashew nuts is implemented and this Motion is adopted, this sub-sector alone has the potential to create thousands of jobs directly and indirectly. Through value addition, it can fetch billions to the National Treasury through export. Value addition is something I personally believe has great potential. About three months ago, I sponsored some young people from Witu Ward in Lamu County to learn the impact of value addition in Bomet County. Through value addition, the farmer will cash in on the byproducts of cashew nuts such as cashew nut shell oil ...
view