Samuel Kamunye Gichigi

Parties & Coalitions

Email

gichigik@yahoo.com

Telephone

0722307077

All parliamentary appearances

Entries 401 to 410 of 830.

  • 27 Nov 2014 in National Assembly: Pili, kwa hili jambo la ukosefu wa kazi kwa vijana, tusiliangalie tuseme eti polisi ndio wataleta suluhisho katika hii nchi. Lazima tutafutie vijana wetu kazi. Huu uamuzi wa Serikali kuwa watu waendelee kufanya kazi na wastaafu baada ya miaka 60, lazima ubadilishwe. Tupatie vijana wetu nafasi ya kufanya kazi. Lazima wananachi wastaafu wakiwa na miaka 55 kama ilivyokuwa. Jambo la mtu kupata mshahara kwa muda wa zaidi ya miaka 30 lazima likome. Vijana wetu watafutiwe kazi. view
  • 27 Nov 2014 in National Assembly: Tatu, ukosefu wa usalama umechangiwa na jambo la ufisadi. Sisi wote tunafahamu vyema kuwa wakora wengi ambao wanaingia humu nchini wamepatiwa vibali katika mipaka yetu, hapa Nairobi na kwingineko na maofisa wa idara kadha wa kadha ambazo zinahusiana na upeanaji vibali. Hao ndio wanasababisha ukosefu wa usalama katika nchi hii. view
  • 27 Nov 2014 in National Assembly: Naibu Spika wa Muda, hatuwezi kuboresha usalama katika nchi hii kama tunafikiria polisi ndio wataleta usalama. Lazima viongozi wote na wananchi wote wa Kenya wakubali vile Rais alisema jana kwamba, usalama katika nchi hii ni jukumu lako na langu. Sisi ambao tuna watoto, ni filimu gani ambazo tunanunulia watoto wetu waangalie? Ni zile ambazo zina bunduki ambazo watoto wanajifunza nazo? Ukienda kuwanunulia vitu vya kuchezea, unawanunulia bunduki ya maji? Sisi wenyewe ndio tunaleta ukosefu wa usalama katika nchi hii na ni jukumu letu kuhakikisha hayo yanafanyika pia. view
  • 27 Nov 2014 in National Assembly: Naibu Spika wa Muda, ni muhimu pia tuanze kuangalia mambo ya polisi ili tuhakikisha kwamba wako na vifaa vya kutosha. view
  • 26 Nov 2014 in National Assembly: I wish to draw the attention of the hon. Temporary Deputy Chairman and this House to the provisions of Article 114 of the Constitution that is very clear and the implication is that if you want to bring any law that affects taxation or expenditure in this country, that particular proposal must appear before the Budget and Appropriations Committee, which must in turn consult the Treasury before that issue can be dealt with. Hon. Temporary Deputy Chairman, Clause 4 has proposed the inclusion of Section 68 (a). It did come before the Budget and Appropriations Committee. If you read it, ... view
  • 26 Nov 2014 in National Assembly: Yes. view
  • 26 Nov 2014 in National Assembly: Yes. I am saying, Clause 4 as it is came before the Budget and Appropriations Committee but you can now see what my brother hon. Ichung’wah who has very good intentions has done, he has brought an amendment to this House that has The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 26 Nov 2014 in National Assembly: not appeared before the Budget and Appropriations Committee and which is now imposing a mandatory requirement on the Cabinet Secretary to give a tax waiver. That was not in the original Bill. It is a completely new thing and obviously it cannot be moved on the Floor. The substantive hon. Speaker has actually ruled that you cannot come to the Committee of the whole House and move an amendment that has implication on taxation and budget in this country. view
  • 26 Nov 2014 in National Assembly: On a point of information, hon. Temporary Deputy Chairman. view
  • 26 Nov 2014 in National Assembly: On a point of information, hon. Temporary Deputy Chairman. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus