Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1861 to 1870 of 2266.

  • 15 Feb 2017 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, what are the Standing Orders for? view
  • 15 Feb 2017 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, I take into consideration the plight of all those workers in the 47 county governments, all those pensioners and further taking into consideration the time spent by this very able Committee. I have always held and still hold that you are one of the most outstanding lawyers in this country. That position to me has never changed. When you sit on that Chair, we do not refer to you as any other The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the ... view
  • 14 Feb 2017 in Senate: Asante sana Bw. Naibu Spika. Mimi pia nataka kuomboleza na Maseneta wenzangu kifo cha ndugu yetu Boy Juma Boy. Kifo chache ni cha watu wa Kijiji cha Rasini, watu wa Kwale, watu wa pwani na Wakenya wote. Ndugu yetu marehemu Boy Juma Boy alikuwa na sisi hapa kama Seneta. Nataka kuwatolea mshangao kwamba watu wawili waliopendana katika hili Bunge walikuwa marehemu Boy Juma Boy na marehemu Otieno Kajwang. Cha kushangaza ni kuwa wote walikuwa wanaketi kona moja. Mwenyezi Mungu ana mipangilio yake. Sasa hivi, marehemu ndugu yetu amekwenda kukutana na mwenzake marehemu Otieno Kajwang. Najua Mwenyezi Mungu amerehemu roho zao. ... view
  • 14 Feb 2017 in Senate: Asante Bw. Naibu Spika. Kwa kumalizia, kwa wajane wake watatu, mama mzazi, ndugu zangu Issa, Nduiri, Mwanasiti na ndugu zangu wengine wote wadogo ambao siwezi kuwataja majina, naomba Mola aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi. view
  • 14 Feb 2017 in Senate: Asante sana, Bw. Spika wa Muda. Naunga mkono Hoja hii. Ningependa kuzungumza kuhusu mgomo wa madaktari, wewe ukiwa mmoja wa madaktari shupavu humu nchini. Katika historia Kenya, ni mara ya kwanza mimi kushuhudia madaktari wakigoma siku zisipopungua 75. Ni aibu ya hali ya juu kwamba wananchi wanaweza kukosa kutibiwa na wengine wakafa bila Serikali yao kuwangalia. Nchi isiyo angalia maslahi na afya ya wananchi imekosa mwelekeo. Nasema hivi kwa sababu ya uzembe kama huu. Unapata ya kwamba madaktari wanadai haki yao. Huwa wanalipwa mishahara duni ilhali kazi wanayo ifanya ni ngumu sana. Kuna umuhimu wa kuweza kuangalia ama kuchunguza ni ... view
  • 5 Jan 2017 in Senate: No! view
  • 5 Jan 2017 in Senate: Bw. Spika, asante kwa nafasi hii. Kitu cha kwanza in kwamba hili jambo tunalotaka kujadiliana ni nzito sana katika nchi yetu ya Kenya hivi sasa. Sisi kama Bunge la Seneti tukizingatia hilo kama jukumu letu, kuna umuhimu kwamba sote tuwe katika fahamu ya ripoti hiyo. Hivi sasa tunaambiwa kuwa tuingie katika msururu wa kujadiliana. Hivyo si vibaya lakini ripoti iko wapi? Hatuna ripoti katika mikono yetu. Ukishajadili halafu ripoti ije kivingine, kisheria utakuwa huna haki ya kumjibu mwenzako. Kwa hivyo, ombi langu ni kwamba tusijadiliane kwa sasa ikiwa ripoti haiko hapa ndani ya Bunge la Seneti. Tunakusihi utupe nafasi kidogo ... view
  • 5 Jan 2017 in Senate: On a point of order. view
  • 5 Jan 2017 in Senate: Mr. Chairman, Sir, I have a lot of respect for the distinguished Sen. Haji as my Mzee but--- view
  • 5 Jan 2017 in Senate: Okay. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus