Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 2071 to 2080 of 2266.

  • 14 Jul 2015 in Senate: Bw. Spika wa Muda, asante kwa kunipa nafasi hii niunge mkono Mswada huu. Pia ninataka kumpongeza Seneta kijana shupavu, wakili ambaye ni Seneta wa Nandi, Sen. Sang. Ni jambo la muhimu kwake kuleta Mswada huu. Kwa mara ya kwanza tangu tupate Uhuru, tunaona mwelekeo hasa katika Serikali zetu za ugatuzi. Hii imekuwa changamoto hasa tukiangalia wakati huu ambapo tumepoteza mtu shupavu nchini. Huyu ni mtu ambaye tangu Kenya ipate Uhuru, amekuwa akichekesha watu, amekuwa akichekesha taifa nzima katika kipindi kinachoitwa Vitimbi . Huyu ni Mzee Ojwang. Hivi sasa sisi sote tunaomboleza kama taifa kwa kumpoteza Mzee Ojwang. Yeye alikuwa anajulikana ... view
  • 14 Jul 2015 in Senate: Bw. Spika wa Muda, vigango ni kama vidonga. Ni vitu ambavyo ni vya zamani za kale. Kama sanamu za Koitalel arap Samoei ambazo zilichongwa, The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 8 Jul 2015 in Senate: Hoja ya nidhamu, Bw. Naibu Spika. Nataka kuuliza kitu kimoja, nimemsikia Seneta wa Vihiga akisema kwamba “kitu chake” hakifanyi kazi. Tunataka afafanue zaidi ni kitu gani kilicho mbele yake hivi sasa ambacho hakifanyi kazi. view
  • 8 Jul 2015 in Senate: Asante sana, Bw. Spika wa Muda. Kwanza ningetaka kuunga mkono Mswada huu wa kaunti hasa unapohusika na wafanyikazi waliostaafu wa kaunti zote 47 katika nchi ya Kenya. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 7 Jul 2015 in Senate: Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii. Ningependa kumshukuru ndugu yangu, Seneta wa Mandera, kwa kuleta Hoja hii. Jambo la kwanza ni kusema ni pole kwa wale wote waliofiwa pamoja na jamii zao huko Mandera. Pia nawapa pole kubwa kwa Wakenya ambao wamepoteza maisha yao. Jambo la kwanza ambalo ningependa kusema ni kwamba Katiba inasema kinagaubaga kuwa maisha ya Wakenya yako juu ya mikono ya mhe. Rais. Hilo ni jambo ambalo hatuwezi kulitoroka. Katiba ni sheria kuu ya nchi hii. Mhe. Rais hawezi kuepukana na jukumu hilo. Kila mkenya yafaa alindwe na mhe. Rais katika maisha yake. Hivi ... view
  • 7 Jul 2015 in Senate: Bw. Spika wa Muda, nafikiria kuwa muda wangu utauongeza. Nikisema naogopa kuwa Mkenya namaanisha kwamba nikitoka hapa mhe. Rais hana The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 30 Jun 2015 in Senate: Yes, I am, Mr. Deputy Speaker, Sir. view
  • 30 Jun 2015 in Senate: Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir. I beg to move that the The Public Appointments (County Assembly Approval) Bill (Senate Bill No. 20 of 2014) be now read a Second time. This Bill was published on 30th May, 2014. The Bill seeks to provide a framework through which county assemblies can undertake the approval of appointment of nominees to public offices within the county. view
  • 30 Jun 2015 in Senate: Madam Temporary Speaker, the Bill is expected to guide the relevant committees of county assemblies on the manner in which they are to conduct an approval, hearing and determine whether or not to approve the appointment of a nominee to a public office. It also seeks to fill a void which currently exists with regard to public appointments by county assemblies. It also intends to provide a uniform framework to apply to all county assemblies in the consideration of nominees for appointment to public offices. While we have in place a number of statutes that provide for the appointment of ... view
  • 30 Jun 2015 in Senate: Thank you, Madam Temporary Speaker, Sir. With your kind permission, allow me to pass my condolences to the Hon. (Dr.) Mukhisa Kituyi for his son’s death. I would also like to pass my condolences to the family of my former colleague and friend who as a distinguished lawyer, Mathews Oseko. To his wife I say: view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus