21 Jul 2015 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I meant 20th July, 2015. So, it is only next week.
view
21 Jul 2015 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I am sorry. Maybe, I woke up on the wrong side of the bed. I meant 25th July, 2015. That will be Wednesday, next week.
view
21 Jul 2015 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, I am very sorry about the confusion I had concerning dates. I want to explain to the House that 29th would be on Wednesday next week. That is when the CS will be in the House. However, after consulting Sen. Musila who sought for the Statement, I got it from him that he will not be in the House on 29th July, 2015. Therefore, it is up to him to explain about that. All I am saying is that we could do that after the recess.
view
21 Jul 2015 in Senate:
Asante sana, Bw. Spika. Nachukua nafasi hii kukupongeza kwa uongozi na uwazi katika uamuzi wako ambao sisi tunaweza kusema pengine ulitekelezwa wakati wa Mfalme Solomoni. Tunausifu uongozi huo kama Maseneta. Kulingana na Katiba yetu ya Kenya, Kipengele cha Kwanza, uongozi wa nchi hii ni jukumu la Bunge. Jukumu hilo linatekelezwa na viongozi waliochaguliwa. Sio mara ya kwanza au ya pili kwetu Maseneta kuona kwamba Rais amechukua mwelekeo usiolingana na Katiba.Tukizingatia zaidi ile Miswada ambayo imetoka katika Bunge la Kitaifa ikipuuza Bunge la Seneti. Hili ni jambo hatari na jukumu hili liko katika mikono yake Rais wa Nchi hii. Yeye kama ...
view
15 Jul 2015 in Senate:
Mr. Speaker, Sir, yesterday I had a discussion with the distinguished Senator for Kitui, Mzee David Musila. I am surprised that he is asking the same question that I had clarified. I told him that on or before the end of this month, we shall be in a position to ask the Cabinet Secretary (CS) to come to this House and answer the remaining questions. I am sure he is aware about that discussion that we had yesterday.
view
15 Jul 2015 in Senate:
Mr. Temporary Chairperson, Sir, pursuant to Standing Order 139, I beg to move that the Committee of the Whole reports progress on its consideration of the Public Appointments (County Assembly Approval) Bill (Senate Bill No.20 of 2014) and seeks leave to sit again tomorrow.
view
15 Jul 2015 in Senate:
Mr. Temporary Speaker, Sir, I beg to move that the House do agree with the Committee on the said report.
view
14 Jul 2015 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, asante kwa kunipa nafasi hii niunge mkono Mswada huu. Pia ninataka kumpongeza Seneta kijana shupavu, wakili ambaye ni Seneta wa Nandi, Sen. Sang. Ni jambo la muhimu kwake kuleta Mswada huu. Kwa mara ya kwanza tangu tupate Uhuru, tunaona mwelekeo hasa katika Serikali zetu za ugatuzi. Hii imekuwa changamoto hasa tukiangalia wakati huu ambapo tumepoteza mtu shupavu nchini. Huyu ni mtu ambaye tangu Kenya ipate Uhuru, amekuwa akichekesha watu, amekuwa akichekesha taifa nzima katika kipindi kinachoitwa Vitimbi . Huyu ni Mzee Ojwang. Hivi sasa sisi sote tunaomboleza kama taifa kwa kumpoteza Mzee Ojwang. Yeye alikuwa anajulikana ...
view
14 Jul 2015 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, vigango ni kama vidonga. Ni vitu ambavyo ni vya zamani za kale. Kama sanamu za Koitalel arap Samoei ambazo zilichongwa, The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
8 Jul 2015 in Senate:
Hoja ya nidhamu, Bw. Naibu Spika. Nataka kuuliza kitu kimoja, nimemsikia Seneta wa Vihiga akisema kwamba “kitu chake” hakifanyi kazi. Tunataka afafanue zaidi ni kitu gani kilicho mbele yake hivi sasa ambacho hakifanyi kazi.
view