Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 541 to 550 of 2266.

  • 22 Feb 2023 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, can you give me time--- view
  • 22 Feb 2023 in Senate: Asante, Bw. Naibu Spika. Kwanza, natoa shukurani kwako, kwa ndugu yangu, Kiongozi wa Walio Wengi na kwa kamishna wetu pamoja na naibu wangu. Tumekuita na ukakubali tukae tuangalie suluhisho liko namna gani. Ninashukuru sana. view
  • 22 Feb 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 22 Feb 2023 in Senate: Bw. Naibu Spika, utaelewa kwamba bungeni lazima kuwe na pande mbili ambazo ni kama kueka majembe mawili ndani ya gunia halafu yakose kugongana. Kawaida, lazima yagongane. Kwetu, tukienda shambani tunaweka, tunabeba na kwenda shambani kulima. Kwa hivyo, sisi tukiwa upande huu na wale pande ule, ni lazima kutakuwa na hizo tofauti. Lakini, tumekaa na ndugu yangu, tumeongea na tumekuwa na mwelekeo. Ninakubaliana na yote yaliyosemwa na ndugu yangu, Sen. Cheruiyot. La muhimu ambalo ningependa kukushukuru zaidi ni kwamba wewe kama kinara wetu hapa, umefanya vizuri kutusikiza na nimekwambia maombi yetu. Vile tulivyoafikiana na kukubaliana, nina hakika utayasema hapa. Waswahili wanasema ... view
  • 22 Feb 2023 in Senate: Bw. Naibu Spika, naomba unisikize, usiniambie tunavyostahili kufanya. Kama ule mpaka tumeuvuka, basi samahani. Kadri tunavyoendelea, ni lazima nawe pia uwe na moyo mkunjufu na mkubwa wa kuweza kusamehe upande huu na ule vilevile ukifanya makosa, pia uweze kuwasamehe. Asante, Bw. Naibu Spika. view
  • 21 Feb 2023 in Senate: On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir. view
  • 21 Feb 2023 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, last week, we communicated to your Office with regard to changes made in the Leadership of the Minority side. From last week up to today, this Communication has been lying in your Office. view
  • 21 Feb 2023 in Senate: Can you give me a chance and listen? view
  • 21 Feb 2023 in Senate: Yes, that is what I want to--- view
  • 21 Feb 2023 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, do you hear these kinds of manners? view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus