Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 521 to 530 of 2266.

  • 15 Mar 2023 in Senate: Ahsante Bw. Spika. Ninataka kukubaliana na ndugu yangu, Sen. Cheruiyot alivyosema, mia kwa mia kwamba yuko sawa. Mimi leo, ningependa uwe na moyo mkunjufu, moyo mkubwa, kama Spika wetu. Ninaelewa ya kwamba vile tulivyofanya, yale maneno yote tuliyofanya hapa, si ya usawa kulingana na wewe ukiwa umeketi kwenye Kiti. Ndugu wakiketi ama katika hafla yetu kama hii ya Masenata kuwa katika mjadala, ni lazima pengine tutakosoana kidogo. Kwa hivyo kama yamefanyika, ni bahati mbaya, hatukutarajia kama yatafika hapo. Kwa ndugu zangu, leo tumekosea hii Seneti. Na huo ndio ukweli wa mambo. Sisi zote, upande ule na upande huu, tumekosea. Tumekosa ... view
  • 15 Mar 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 15 Mar 2023 in Senate: ninavyofikiria kwamba wale walio nyumbani na wale wanafunzi ambao wanakuja hapa wanaona mtu kama Sen. (Dr.) Khalwale, wanamwona Sen. Madzayo, Sen. Cheruiyot, wanaona kijana shupavu, Sen. Wakili Sigei, tukiwa tunarushiana maneno kama hayo. Bw. Spika, kwa yote, piga moyo konde yaweke nyuma. Ninajua katika ile hasira ukiwa kinara katika hii Seneti unaweza kutoa uamuzi kuhusian na ile hasira iloyokuja kwa ghafla na wewe ni binadamu. Hakuna mtu anayeweza kukuita hivyo na wewe usimwite. Yeye akiwa ameenda kidogo upande ambao umezidi, mimi ningeomba hiyo. Hata pengine vile ulivyotamka pengine ulisema ilikuwa katika spur of the moment. Hata hivyo, yote hayo tuliyoyafanya, ... view
  • 15 Mar 2023 in Senate: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. view
  • 15 Mar 2023 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. We have our Standing Orders No.34(2). Give me a chance to read it to you. It says: “Unless for the convenience of the Senate, the Speaker or the Chairperson (as the case may be) directs earlier or later interruption of business, at 6.30p.m. the Speaker or the Chairperson of Committees shall interrupt the business then under view
  • 15 Mar 2023 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 15 Mar 2023 in Senate: consideration and if the Senate is in Committee, the Chairperson shall leave the Chair and report progress and ask for leave to sit again.” Mr. Speaker, Sir, with tremendous respect to this House, we were almost closing in on this matter. I do not see the reason; we are prepared now to go back to where we were. I thought we were making progress. view
  • 15 Mar 2023 in Senate: With a lot of respect again, Senator, you do not want me to lose my cool. view
  • 15 Mar 2023 in Senate: Yes, and that is why I am making this application now. You promised to Communicate. You promised to come after 30 minutes which is why we have waited here. My colleague, Sen. Oketch Gicheru said that it will go way beyond 30 minutes. We wanted to find out what was happening. He did not receive a substantive answer. We have come to 6.30 p.m. We have been talking to you desperately, asking why do you not want to Communicate. We have listened to advices that we have been also receiving from the people who are supposed to advise us. I ... view
  • 7 Mar 2023 in Senate: Thank you, Mr. Speaker, Sir. Allow me to join you in welcoming the students from Sawagongo High School, officials of Makueni County Assembly and the delegations or students from the USA. I believe their visit to Kenya will open their eyes to how we operate here democratically. This being the Senate, we set examples to the future leaders of this country. I hope when you go back to your country, you will know how we procedurally do our things in the Senate. To the young people of Sawagongo High School, I wish you well on your visit. As Baba, Raila ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus